Burundi na rwanda nani yuko juu kijeshi Zikipigwa leo

ivi mtoa mada unawajua Warundi au unawaskia, hao sio binadamu Wa kawaida, hata matukio ya ujambazi Wa kutisha unaotokea Tz migodini na mikoa ya kaskazini na nyanda ya ziwa huwa wahuska wakuu ni hawa Warundi
 
fact aise maana miaka kama mitano hivi nyuma majambazi wa burundi watano walifanya jeshi la polisi kasulu kuomba msaada wa jeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burundi hana uwezo kabisa wa kupambana na Rwanda. Rwanda wamejipanga, Rais wao ameliimarisha sana jeshi lao kwa kulifanya la watu wachache, vijana zaidi, mbinu na sialaha za kisasa, nidhamu na utayari. Jamaa yuko smart sana. Wao wanaamini uimara wao ndio uwepo wao duniani, udhaifu wao ni kufutika kwao ni kama vile Israel na amekuwa karibu na akijifunza vigi kutoka Isreal kama taifa la watu wachache waliotaka kupotezwa ulimwenguni hatimaye ndio watawala wa dunia. Nilisikia pia wana share kwa kiasi kikubwa intelligency na Mossad. Kwa hiyo ni asset wa US na huku ni patner wa Israel na alivyokichwa unafikiri yuko vizuri kiasi gani? Tumeshasikia tetesi kuwa ndio anayesaidia U.S kuiba madini huko DRC. Na pia ukumbuke wayahudi ndio wafanya biashara wakubwa wa madini duniani. Kwa hiyo wanafaidika naye lazima afaidike nao. Ndio maana anawaza hata kuitawala Afrika Mashariki na kati yote
Nkurunzinza hana huo muda maana alipo kwenyewe ni wasiwasi muda wote kuuliwa au kupinduliwa, anatumia kuda mwingi kujificha na sio kuwa tayari. Baada ya miaka michache unafikiri wakipigana na Rwanda nini kitatokea?

Hivi Rais gani Afrika amewahi kwenda kuhutibia wanajeshi wa Marekani chuo cha mafunzo ya kijeshi U.S.A.? Na kama nani?
 
Hakuna vita itatokea kati ya Rwanda na Burundi,zikipigwa itakuwa vita ya wahutu na Watutsi na watutsi ndiyo watakaoisoma namba.
 
Burundi hana uwezo kabisa wa kupambana na Rwanda. Rwanda wamejipanga, Rais wao ameliimarisha sana jeshi lao kwa kulifanya la watu wachache, vijana zaidi, mbinu na sialaha za kisasa, nidhamu na utayari. Jamaa yuko smart sana. Wao wanaamini uimara wao ndio uwepo wao duniani, udhaifu wao ni kufutika kwao ni kama vile Israel na amekuwa karibu na akijifunza vigi kutoka Isreal kama taifa la watu wachache waliotaka kupotezwa ulimwenguni hatimaye ndio watawala wa dunia. Nilisikia pia wana share kwa kiasi kikubwa intelligency na Mossad. Kwa hiyo ni asset wa US na huku ni patner wa Israel na alivyokichwa unafikiri yuko vizuri kiasi gani? Tumeshasikia tetesi kuwa ndio anayesaidia U.S kuiba madini huko DRC. Na pia ukumbuke wayahudi ndio wafanya biashara wakubwa wa madini duniani. Kwa hiyo wanafaidika naye lazima afaidike nao. Ndio maana anawaza hata kuitawala Afrika Mashariki na kati yote
Nkurunzinza hana huo muda maana alipo kwenyewe ni wasiwasi muda wote kuuliwa au kupinduliwa, anatumia kuda mwingi kujificha na sio kuwa tayari. Baada ya miaka michache unafikiri wakipigana na Rwanda nini kitatokea?

Hivi Rais gani Afrika amewahi kwenda kuhutibia wanajeshi wa Marekani chuo cha mafunzo ya kijeshi U.S.A.? Na kama nani?
Hahahahaha aitawale Africa mashariki kivip yani funguka mkuu

fact lkn hapo kwenye mbinu sina imani nae

swala la silaha za kisasa kwa rdf pia sio kweli ni mwaka jana tu ndio kanunua BM-21 ambazo kwa nchi za sadc wanazo since miaka ya sabini

usa haibi madini congo ana miliki migodi ispokuwa anatumia njia kama za acacia kuiba

mossad walikuja kugundua hawana uwezo wa kupenya EA bila tanzania

kuhutubia wajeda wa us sio jambo kubwa kivile hawa usa walishawai kumtuma luten jeneral wao amletee tuzo mwakibolwa kama kamanda bora wa vikosi vya mizinga africa

kidogo jeshi la slim lina nidhamu kuliko la nkuru pia hawa usa na israel hawanaga rafiki wa kudumu rejea walivyo muuza savimbi

Safi we jamaa kichwa sadam Hussein alikua rafiki yao walimgeuka huyu wauturuki mwaka juzi nusura wamng'oe pili jeshi ni vifaa mfano jeshi la Kenya Kdf nadhani ndojeshi lenye vifaa vya kisasa kabisa kwa ukanda huu nimeona juzi wanafanya mazoezi na wanajeshi wa marekani jamaa wapo vizuri sana Lazima tuwe wakweli Rwanda na Burundi wakipigana maafa yatakua makubwa sana bado ukabila upo sana kwenye hizi nchi.

na itakuwa vita mbaya zaidi kwa africa na kuna uwezekano jamii moja ikafutika kabisa kwenye ukanda huu kama wakichapana kiukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjinga kaharibu uzi wangu namimi nilisema Kama una povu pita kimyakimya
Kwa nini unawawazia yaliyo mabaya, wapigane ili ufurahi hujui kule kuna wazee,watoto na watu wasiojiweza na mainvestor kibao. nilikuwa nakuheshimu nimekuweka akiba
 
Akiba umeniweka saccos au bank 🏦
 
Burundi hana uwezo kabisa wa kupambana na Rwanda. Rwanda wamejipanga, Rais wao ameliimarisha sana jeshi lao kwa kulifanya la watu wachache, vijana zaidi, mbinu na sialaha za kisasa, nidhamu na utayari. Jamaa yuko smart sana. Wao wanaamini uimara wao ndio uwepo wao duniani, udhaifu wao ni kufutika kwao ni kama vile Israel na amekuwa karibu na akijifunza vigi kutoka Isreal kama taifa la watu wachache waliotaka kupotezwa ulimwenguni hatimaye ndio watawala wa dunia. Nilisikia pia wana share kwa kiasi kikubwa intelligency na Mossad. Kwa hiyo ni asset wa US na huku ni patner wa Israel na alivyokichwa unafikiri yuko vizuri kiasi gani? Tumeshasikia tetesi kuwa ndio anayesaidia U.S kuiba madini huko DRC. Na pia ukumbuke wayahudi ndio wafanya biashara wakubwa wa madini duniani. Kwa hiyo wanafaidika naye lazima afaidike nao. Ndio maana anawaza hata kuitawala Afrika Mashariki na kati yote
Nkurunzinza hana huo muda maana alipo kwenyewe ni wasiwasi muda wote kuuliwa au kupinduliwa, anatumia kuda mwingi kujificha na sio kuwa tayari. Baada ya miaka michache unafikiri wakipigana na Rwanda nini kitatokea?

Hivi Rais gani Afrika amewahi kwenda kuhutibia wanajeshi wa Marekani chuo cha mafunzo ya kijeshi U.S.A.? Na kama nani?
Wewe nae propaganda nyiiingi.....au kwasababu Rwanda ndio kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom