Burundi coup bid: Some coup leaders 'arrested'

It's very simple, Warundi wanatakiwa kuonyesha kwenye sanduku la kura kuwa hawampendi Nkuruzinza! Binafsi sifurahishwi na huyu jamaa kugombea muhula wa tatu! Lakini nina matumaini kwamba kama tume ya uchaguzi ya Burundi iko huru, then hao watu wanaweza wamtoe Nkuruzinza madarakani kwa amani kabisa!
 
Wanaofahamu hali halisi ya Burundi wanajua kwamba Nkurunziza anapendwa sana na wananchi. Maandamano na ghasia zinafanywa Bujumbura na vijana wanaochochewa kirahisi na wapinzani kama ilivyo kawaida katika miji ya nchi nyingi. Wapinzani huwa na nguvu mijini siku zote kwa "wajuaji" kuliko kwa wananchi wenye nchi halisi walio wengi ambao wako vijijini. Ikumbukwe pia kwamba ukabila huko Burundi bado ni tatizo kubwa na kumalizwa si rahisi hata kidogo. Itachukua muda mrefu.
 
Yametokea Burundi lakin najua PK kule yupo na wasiwasi vibaya na naamin nimwendelezo wa mauaji ya kimyakimya mchambawima1 Jamaa ana mihula 2 mme ropoka kuwa aondoke wakati Paka wenu ana 21yrs mpo kimyaaa, olewenu warwanda wa amke marufuku kukanyaga huku
 
Last edited by a moderator:
Ninatamani kungekuwa na hata chembe ya uwepo wa demokrasia kama hiyo Burundi. Ninasikitika kusema ninayoyaona kwamba sanduku la kura ni rubber stamp ya kuonyesha dictator anakubalika.

Hili linaanza na nia yake ya kulazimisha kugombea muhula watatu kinyume cha sheria na kudanganya kwamba warundi wamemshawishi.

Pili ni pale warundi walipombishia akakomaa hadi wakahitaji tafsiri ya katiba kutoka mahakama. Mahakama ikalazimishwa kutoa tafsiri anayoitaka Nkurunzinza kinyume ka katiba, na kinyume na public attention. Majudge walioshindwa kutoroka, waka sainishwa kwa mtutu wa bunduki. Yule chief akaona hata kwa mtutu hayuko tayari, akatoroka na kuzungumza namna alivyotishiwa usiku na watu wa Nkurunzinza ama asaini na kusaliti katiba na warundi wenziye kwa maslahi ya Nkuru, au aface kifo. Akaamua kutimua usiku kwa usiku.

Kwa mtiririko wa matukio yote hayo, kweli kuna mtu anaona Sanduku la Kura litaheshimiwa na kutumiwa kwa uhuru n ahaki ikiwa katiba na mahakama zimechinjiliwa mbali?

Ni vizuri tukaongea uhalisia kwa kuwa hali ya burundi iko dhahiri kwamba hakuna democrasia kilichopo ni udictator wa kibabe na kiuaji unaofanywa na Peter kwa kuamrisha vyombo na mifumo yote ya serikali ifanye anachotaka vinginevyo wanaokataa wauawe.

Ni wnagapi wako tayari kukubali wauliwe kwa kusimamia haki ya taifa? Hkauna cha tume huru wala nini. Ni sawa na hapa kwetu tu, na tusijifanye hatujui!.

 
Kwa hiyo "ukipendwa sana na Wananchi" ndio iwe sababu ya kuvunja katiba ya Nchi?
 
Hahaa! Pumbavu kabisa, Bujumbura kimyaaa! Mwanaume amerudi. Ma barricades yameshaondolewa. Ma snitch yameshadakwa. Hii ingekuwa aibu kubwa kwa Tz kama ingefanikiwa.
 
Hahaa! Pumbavu kabisa, Bujumbura kimyaaa! Mwanaume amerudi. Ma barricades yameshaondolewa. Ma snitch yameshadakwa. Hii ingekuwa aibu kubwa kwa Tz kama ingefanikiwa.
kivp mkuu?.fafanua mkuu wangu.
 
Chaguzi nyingi za kiafrika huwa haziaminiki, mara kura zimeibiwa au zimechakachuliwa. Tume za uchaguzi sio huru zinaendeshwa kwa remote na ikulu. Kwa waafrika chaguzi ni kiini macho ndiyo maana wanachi hawaamini kuwa wanaweza kupata haki yao kupitia sanduku la kura.
 
Ilitokea in 1994, Rwanda, mapinduzi yakafanyika, ikawa kama ilivyokuwa, kwanini tena itokee mara ya pili, tena kwa raisi wa nchi jirani na ile ya kwanza, watu lazima wangehisi Tz imehusika kwa namna moja au nyingine.
 
Nani analeta machafuko?
Walitumwa kuandamana ?
Walioanzisha maandamano na vurugu na kusababisha watu wakimbie nchi ndio mashujaa?
Raisi nkurunziza ndo amesababisha hayo yote.
 
Cha msingi ni kuona wakimbizi hawaongezeki na kwamba waliopo nje ya nchi wanarejea kwao!
 
Wamkatae kwenye sanduku la kura.


Tatizo chaguzi nyingi hapa Afrika ni zinafanyika kiwiziwizi,Kitendo cha kukiuka makubaliano ya amani na katiba ya nchi kwa kuingia ktk duru ya 3 ni dhahiri amedhamiria kuongoza tena,uchaguzi ni kama kizugio tu kwa Warundi.
 
Habari za hivi punde zinanesha kuwa Jenerali G. Niyombare,kiongozi wa Jaribio la Mapinduzi nchini Burundi,amekamatwa.

Taarifa zaidi zitafuata.

 
dah, hii imefeli inabidi madenge aendelee na ile singo ya "FDLR imeingia burundi"...:becky:
ah jMali bado uko bongo? nilifikiri umemsindikiza Bujumbura? ngoja amalize sakata lake la katiba alafu aje atueleze alianzaje kushilikiana nanyi, just wait and see
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…