Burudika

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
18294.gif
 
Ndallo kwa kweli toka siku ianze nilikuwa sijacheka ila hapa nimejikuta ninacheka peke yangu,pokea like hiyo...
 
Last edited by a moderator:
Umeona sio? kumbe Mademu huwa wanapewa kipaumbele kuliko Wanaume! Hahahaaaaa!!!




Kuna msemo wa kiswahili huwa wanasema kunya anye kuku akinya bata wanasema kahara,kwa picha hiyo inaonyesha wazi kabisa kuwa ni mambo mengi sana wanayafanya hawa wenzetu na watu wla hawahangaiki nao lakini ukifanya mwanaume basi utakiona
 
Ila kuna umuhimu wa kuwafundisha waiters na waitresses kuwapa wanawake kipau mbele kwenye swala la bills!
Ladyz first.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom