Burudani ndani ya mabasi ya mikoani.

Burudani ndani ya mabasi ya mikoani.

Unachokipenda wewe ndio kero kubwa kwa mwenzako na anacho kipenda mwenzako ndio wewe unakilalamikia hatuwezi kua sawa wote, ukweli ni kua sio lazima uangalie hiyo TV kama kuna maudhui huyapendi wakati wenzako wana enjoy ndio mana mi huwa nalala au naangalia miti inavyo kimbia tu huko nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni janga kubwa sana.

Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.

Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?

Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.

Wakati mwingine bora ulale tu.

Ni hayo kwa leo.

Unaweza ongeza na wewe.
Wakati mwingine kama una flash yako ina movie nzuri unaweza ukawapa,ila angalia isije ikawa na mapicha ya ajabu ajabu,maana yakishaanza mpaka wafanikiwe kuizima watu wameshaona...
 
Hili ni janga kubwa sana.

Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.

Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?

Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.

Wakati mwingine bora ulale tu.

Ni hayo kwa leo.

Unaweza ongeza na wewe.

Kwanza nibora kupiga marufuku tv ndani ya basi maana ni kero huwezi kupumzika sauti ya tv kubwa unafika masikio yote yanauma naomba sumatra wazuie tv zote
 
Back
Top Bottom