Hili ni janga kubwa sana.
Wamiliki wa haya mabasi ya mikoani hawatoi kipaumbele kwenye suala la burudani ndani ya bus.
Kuna mabasi hawa-update burudani zinazotolewa ndani ya bus. Ukisafiri mara kwa mara na bus moja unakuta playlist haibadiliki. Inaweza fika miezi 6 wanaweka playlist ileile.
Wengine wanaweka nyimbo za dini mwanzo mwisho, wakidhani wasafiri wote ni dini ile. Kwanini kusiwe na balance?
Juzi nimepanda Shabiby, wakaweza filamu zile zinazotafsiriwa kwa kiswahili. Nilikuwa disapointed sana, kampuni kubwa vile wanashindwa vipi kuweka movie za kijanja? Movie za kutafsiriwa zimekaa kitapeli sana.
Wakati mwingine bora ulale tu.
Ni hayo kwa leo.
Unaweza ongeza na wewe.