TANZIA Buriani Peter Richard Mwendamseke

Okay okay asante mkuu, du kitambo sana. Huyu jamaa ni kati ya watu tuliopotezana toka miaka hiyo.halafu very sad kusikia hatunaye tena.kumbe aliendelea kuwa social.

Mama yake(Mwenda Mseke) ni miongoni mwa waalimu walio shape maisha yangu. Tulikuwa tunaenda kula ubwabwa wa wanachuo pale MTC kutoka Ikuti primary. Enzi hizo ubwabwa ni kitu mhimu sana na adimu

R.I.P Peter Mwendamseke
 
Pole sana kwa kuondokewa na school mate.
 
Huyu sijui namfahamu au namchanga? Hebu tupia wasifu wake kwa kifupi,hasa alikosoma primary.Ni kama namchanganya na mwingine miaka mingi kule Ikuti Iyunga Mbeya
Alikuwa na meno ya dhahabu, ndio yeye.
 
Amefariki lini? Mbona ni kama kifo na mazishi ni ghaflaghafla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…