Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,048
- 2,267
Kama si lugha ya zihaka hujui kitu kuhusu Zanzibar hasa geopolitics. Naamini unazihaki. Nilishacomment humu kwamba Zanzibar ina historia ndefu na wakati wa kuiandika inahitaji mtu mwenye akili iliyoyulia.Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yamileta hishma kubwa kwa visiwa hivyo.
Rais wa Zanzibar akitembelea nchi za Kiislamu, nchi za Kiarabu na
nchi za OAC zenye balozi Zanzibar, anapokelewa kama rais.
P