Buriani Barry Mwaga

May your soul Rest in peace Barry, U will always be rememberd. This is shocking and so sad. Duh
 
Huyo marehemu ni nani haswa?
Alikua ni UDSM alumni na mfanyakazi wa NSSF Shinyanga na mkewe alikua marehemu Alice Ruoja aliyefariki kwa ajali ya bodaboda a year ago,kwa wakazi wa Tabora watakua wanamfahamu Alice au mama yake Mrs Ruoja alishakua headmistress shule nyingi tu

asante sana naumbu kwa kuongezea Barry alisoma Forest Hill Secondary Morogoro HGE miaka 1997 na waliishi kwa muda morogoro. Baba yake Barry alishawahi kuwa mbunge wa dodoma (Kibakwe). Samahani watu8 kwa kuchelewa kukujibu sikuwa na connection.


Samahani sana Kinyau kwa hii shallow and low info ni majonzi tu, sio kingine sitarudia tena siku nyingine.

Unaweza ambiwa hilo swali ni irrelevant eti......
Nyani Ngabu There are no irrelevant questions only irrelevant answers
 
Last edited by a moderator:
Aisee, pole sana mkuu. Ni vigumu kuukubali ukweli huu, lakini siku moja wote tutatoka hapa, kwa vyovyote vile. Mungu akupe uvumilivu, and may he and his wife RIP
asante sana MESTOD
 
Last edited by a moderator:
Hakika hakuna ajuaje saa wala muda, asante nyumba kubwa
 
Last edited by a moderator:
Siku ingine ulete wasifu wa marehemu tujue tunaongea nin
 
Poleni sana wafiwa
Duniani so kwetu tumekuja kutembea
 
weka picha tumfahamu marehemu. pole sana kwa kufiwa
 
Husninyo hujachanganya na zako ukachepukia kwa facebook? Ukienda kule kuna picha zake, kilichoniuma ni kuwa marehemu alifiwa na mke wake mwaka jana mwezi august, na mwaka huu mwaka mmoja baada ya kifo cha mkewe na yeye kafariki.
Kinachouma zaidi wameacha watoto wadogo watatu, ambao kwa vyovyote vile walihitaji malezi ya wazazi wao sana.

May them RIP
 
Last edited by a moderator:
Alikua ni UDSM alumni na mfanyakazi wa NSSF Shinyanga na mkewe alikua marehemu Alice Ruoja aliyefariki kwa ajali ya bodaboda a year ago,kwa wakazi wa Tabora watakua wanamfahamu Alice au mama yake Mrs Ruoja alishakua headmistress shule nyingi tu
Jamani Huyo Mrs. Luoja ni kama amefariki mwaka huu April?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…