Wajenge kwa phase hata 3 au zaidi lakini itakamilika.Pia inaweza kujenga kwa awamu. Mfano Mwenge-Posta 10km.
Kwani bado tupo kwenye ujamaa?!Kuna jamaa yangu nilikuwa nazungumza nae pia Ofisini kwangu alikuja akanambia swala hilo hilo la Ujamaa. Kwani hatuwezi kuuacha ili twende na spidi ya Dunia! Maana hao waliokuwa Wajamaa wenyewe walishaga badilika kitambo sana.
#SisiTunakwamiaWapiiii!!!!!?
Gharama kubwa ndio ila tunaweza. Kama tunajenga sgr kwa jumla ya 7tr hii haitushindi. Tunajenga kwa phases hata miaka 15.Gharama ni kubwa sana dsm itaunganishwa na mwendokasi na sea ways, kila kitu kipo kwenye mpango, BRT 5. Ipo design sasa, BRT 4 inakuja, ufanisi katika uendeshaji wa huu mradi utafuati, anatafutwa mtoa huduma mwingine ambaye atashirikiana na huyu wa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuambie itakuwaje?Mfano hii nchi wakabidhiwe vijana wasomi miaka 35 kushuka chini
Kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba 10 hivi itakuwaje after 20 yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni asilimia ndogo sana ya vijana wazalendo wanaoitakia mema nchi hii, wengi ni wachumia tumbo mkuuMfano hii nchi wakabidhiwe vijana wasomi miaka 35 kushuka chini
Kuanzia Rais hadi balozi wa nyumba 10 hivi itakuwaje after 20 yrs
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haihitaji barabara pana. Inajengwa katikati ya barabara inapita juu.Huku Bunju barabara finyu alafu wanahamishia huku mabasi ya mikoani! Wafikirie kuitanua barabara maana foleni imekuwa kero sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema ndio ivyo tena mkuu, haitawezekana tena, BRT ndio imekua choice yetu kwa dsm labda waiandae dodoma, tuombe ufanisi katika uendeshaji maana kwa kweli wanatuangusha sanaGharama kubwa ndio ila tunaweza. Kama tunajenga sgr kwa jumla ya 7tr hii haitushindi. Tunajenga kwa phases hata miaka 15.
BRT inabaki kwenye route fulani,then Metro upande mwingine. Mfano London kuna underground train, overground train,tram na London buses.Sema ndio ivyo tena mkuu, haitawezekana tena, BRT ndio imekua choice yetu kwa dsm labda waiandae dodoma, tuombebifanishi katika uendeshaji maana kwa kweli wanatuangusha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa zetu zinamipango mingineNchi tajiri hii....donor country.
BRT inabaki kwenye route fulani,then Metro upande mwingine. Mfano London kuna underground train, overground train,tram na London buses.
Nimejaribu kukuonesha kuwa mji unaweza kuwa na more than one transport system. Sio kwamba ukiwa na BRT huwezi kuwa na Metro lines.Ila tunayoyafanya sasa london waliyafanya miaka 100 iliyopita , wote tunapitia njia ile kwa sasa uwezo hauturuhusu, tukisema tufanye haya sasa hivi wananchi tutahenyeka kweli kweli, wenzetu walikusanya fedha kwa njia haramu kama utumwa madini n.k kujenga nchi zao sisi hatuwezi kuyafanya hayo kwa mda huu, madikteta walijenga miundo mbinu kwa nguvu kazi za bure kabisa mf ujerumani, italy nk...maendeleo ya viwanda nayo yalijaa unyonyaji tuu...hatuwezi kufikia huko kama wao tena tujikune usawa wa mkono wetu, tukitaka zaidi inabidi kama nchi tukunwe afu siyo poa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia hatuwezi kukamilisha hili ulilopendekeza nchi ni kubwa sana kuijenga yote kwa wakati huuNimejaribu kukuonesha kuwa mji unaweza kuwa na more than one transport system. Sio kwamba ukiwa na BRT huwezi kuwa na Metro lines.
Hawajilipa mkuuWale jamaa hawajawalipa kishika uchumba?
Nani kakwambia inajengwa nchi nzima? Hivi vitu vinajengwa kwa awamu. Magu angekuwa na mawazo kama yako asingejenga hata km moja ya sgr.Kiuhalisia hatuwezi kukamilisha hili ulilopendekeza nchi ni kubwa sana kuijenga yote kwa wakati huuniseme sikosi sababu
Sent using Jamii Forums mobile app