Bunju-Posta Metro Line

Bunju-Posta Metro Line

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,804
Reaction score
129,647
Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni station
Screenshot_20190103-174109.png
Screenshot_20190103-174057.png
Screenshot_20190103-174036.png
 
Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
Acha kuota.
 
Tunahtaji kufikiria project ka hyo inayo weza kutumika hadi miaka 30 ijayo to me mwendokasi ime prove failures imagine na jiji population inakuwa sasa hyo mwendokasi inaweza solve tatizo la usafiri. Yatupasa ka ni kufanya miradi iwe ya uhakika
I hope wafanya maamuzi wataona kama wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya mwendokasi kwanini tusiweke Metro line kutoka Bunju Hadi Posta? Hii inawezekana kupita juu Kwa juu katikati ya barabara bila kuathiri magari ya kawaida. Train za umeme full automated bila dereva zitatumika. Station zinakuwa juu huko huko abiria wanapanda na kushuka kwa kidaraja juu ya barabara. Treni moja ni Sawa na mabasi ya mwendokasi manne au matano hivyo zinaweza kubeba watu 500-600 Kwa mara moja. Mfano wake ni hapo chini. Picha ya tatu ni stationView attachment 984917View attachment 984918View attachment 984919
Chief bajeti ya kujenga hizi mambo labda Serikali nyingine sio hii japo najua uwezo upo. Kama tunanunua wapinzani na kurudia uchaguzi kwa ghalama kubwa kiasi kile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutafika huko ndugu yangu, siku si nyingi ndege zilikuwa anasa, leo ndege hazitoshi.
 
Chief bajeti ya kujenga hizi mambo labda Serikali nyingine sio hii japo najua uwezo upo. Kama tunanunua wapinzani na kurudia uchaguzi kwa ghalama kubwa kiasi kile

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefarijika uliposema uwezo upo. Inawezekana kujenga kwa awamu. Kama tumeweza SGR hata hii tunaweza.
 
Fikra na Akili za Kimasikini ndilo tatizo kuu la nchi nyingi za kiafrika. Hapo mtoa mada kama ulivyosema, nakuongezea jambo.

Kungeanzishwa Road Toll, serikali iwaite matajiri wetu wa ndani wawape Tenda ya kujenga barabara za juu, kitu kinaanzia Bunju mpaka Posta, Gomz mpaka Posta, Mbagala mpaka Posta, Mbezi mpaka Posta, wakimaliza kujenga wanapewa miaka 10 au mpaka 15 kuiendesha kurudisha gharama na kupata faida then serikali inakuja kuichukua kwa asilimia 80 na 20 anapata aliyejenga.

Sasa kuwa Tajiri nchi hii ishaonekana dhambi, kila kitu Serikali inataka ifanye yenyewe kwa asilimia 100. Neno la Mjenga nchi ni Mwananchi mwenyewe kwa Awamu hii sielewi maana yake ni nini.
 
Tatizo nchi za kiafrika viongozi wake sijui WANAONGOZWA na mdudu gani.

Mfano ile boti iliyokuwa ifanye kazi Feri to Bagamoyo ikazinduliwa kwa mbwembwe na vifijo 😔, laiti ingekuwepo na kufanya safari zake na kuwepo kwa vituo mahari kadhaa kama MIKOCHENI, KUNDUCHI, UNUNIO, BUNJU nk.

Ingepunguza urasimu ila sasa daaa...!
 
Back
Top Bottom