mabumbe
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 298
- 40
huyu King Kong III huwa anajifanya anajua saana lakini mara zote ni mpuuzi tu.Akili zako za kijinga na uzazi wako wote,
Last edited by a moderator:
huyu King Kong III huwa anajifanya anajua saana lakini mara zote ni mpuuzi tu.Akili zako za kijinga na uzazi wako wote,
Akili zako za kijinga saana we jamaa kuna watu wenye shida we tajiri pita pumba..vu kabisa, lazma uanzie zero ndo uende moja, fikiria saana utaraaniwa na uzazi wako wote,
nashukuru nimempata mdada kupitia jukwaa hili wa kuniuzia kiduka changu cha nguo na mambo yanaenda vizuri. Karibuni kijitonyama mumuchangie,
leo nina wazo hili.
Kulingana na kuwa na majukumu binafisi,
nitatoa million mbili kwa kijana yeyote wa kitamzania ambaye atakuwa tayari kubuni biashara au kutafuta fursa au office ya aina yeyote harali.
Hiyo biashara itakuwa yangu yeye atakuwa kama nimemwajiri japo atakuwa amebuni na kuanzisha biashara hiyo.
Leseni nitamchukulia mimi tra,
location au eneo au frem ya biashara atatafuta mwenyewe ila nitaiilipia mimi na mumiliki wa nyumba au frem hizo atanitambua mimi kama mkodishiwa,
biashara isiwe mobile (easy to be moved).
Bizaa tutaenda kununua wote hadi hapo tutakapoaminiana,
mauzo ya kila siku yatawasilishwa kwa namna tukavyopatana,
eneo la biashara ni sehem yeyote mkoa wa dsm au mkoa wa pwani.
Awe na umri unaotakiwa kisheria kuajiriwa,
awe tayari kunipeleka kwa kwa ndugu au mtu anaetambulika.
Atatakiwa kwenda naye mahakamani kwa ajili ya kuapa akiwa na vizibitisho (dhamana) inaweza ikawa barua, vyeti na picha n.k... Hii itasaidia siku akikimbia nikimkamata niweze kumuadhibu kisheria na kihaki.
Jinsia yeyote na elimu yeyote,
asiwe mkubwa saana hadi nikawa namuogopa kusaidiana katika kukuza biashara yetu. (umri wa kati tu).
Sihitaji business plan nahitaji wazo lako tu, mfano sema nitafungua grocery sehem flan au nitafungua stationary sehem flan nk. Na mimi nitapima wazo lako nikilikubali ndo tutaanzia hapo.
Awe mwaminifu.
huyu King Kong III huwa anajifanya anajua saana lakini mara zote ni mpuuzi tu.
Nakusaidia tu, sitaki malipo. Fungua ofisi ya Recruitment ;-
Wafanyakazi wa majumbani kila kichwa $2000
Wafanyakazi Mahoteli kila kichwa $2500
Wafanyakazi carwash kila kichwa $1800
Soko kuu lipo M/E , China, Far-East,nk. kama upo tayari PM imed.
harufu ya slave trade
Unajua kabla hujamjibu mleta mada click posts zake ndio utajua kwamba ni mbabaishaji.Post zinajichanganya.
Hakuna mfanyabiashara wala nini.
Ukweli ni kwamba mleta mada anapotezea watu muda.
Anasema kwamba atatoa 2m,kwa mleta wazo.Hii hata mtoto mdogo anaona kama mchezo wa nage.
Na wale wote walioanzisha Matusi kwa Kingkong ni kwamba wapo na mategemea ya kupata hilo dili kwenye hizo Pms zenu.Lakini wajue kwamba imekula kwao.
Humu Jf kuna watu maelfu wamepata mawazo ya Biashara buree bila kulipa,na uki google tu utapata ushahidi huo.Sasa huyu na hizi mbwembwe zake za 2m ndio nini sasa.
Yaani Wakurya nyie mnakuwa kama wale jirani zenu kwa misifa ya kijinga.