Buni wazo la biashara mtaji juu yangu

Buni wazo la biashara mtaji juu yangu

Yaani ule dola 2000 halafu mtoto wa watu aende kuwa Punda huko majuu,
mweee!!!
Wewe unaweza kukubali afanyiwe mwanao hivo?
Jery, usikurupuke !! Tafadhali usitie dhaana mbovu na ovu kwa wengine. Ulimwengu huu pembe zote kuna ajira za kila aina. Mie mwanangu kaajiriwa nje ( Bahari au mcheza soka au mbeba Boxi ) Lakini heshima yake kama mchapa kazi imefana!!

Badala ya kuishia kijiweni au kuiiba/kuitwa mwizi haipo.
 
Kikubwa tukutane pm haina haja ya kuorozesha aina au wazo la biashara hapa! Hapa wachawi wengi.

Eh mkuu, unaogopa wachawi JF? Ingekuwa members wote humu wachoyo kama wewe watu wasingeona umuhimu wa JF. Kwa dizaini hiyo hata huyo partner wako lazima mtazinguana. Watu wangekuwa waoga wa kutoa mawazo yao mimi nisingekuwa mfanyabiashara leo hii.
 
Jery, usikurupuke !! Tafadhali usitie dhaana mbovu na ovu kwa wengine. Ulimwengu huu pembe zote kuna ajira za kila aina. Mie mwanangu kaajiriwa nje ( Bahari au mcheza soka au mbeba Boxi ) Lakini heshima yake kama mchapa kazi imefana!!

Badala ya kuishia kijiweni au kuiiba/kuitwa mwizi haipo.

Nimekuelewa Mr
 
Ungekuwa fair ungesema utamlipa kwa business idea yake au mtaisajili kwa jina lake. Hivyo facilities, systems na infrastructure zinakuwa zako kisheria na idea inaimiliki yeye kisheria vile vile.
 
Eh mkuu, unaogopa wachawi JF? Ingekuwa members wote humu wachoyo kama wewe watu wasingeona umuhimu wa JF. Kwa dizaini hiyo hata huyo partner wako lazima mtazinguana. Watu wangekuwa waoga wa kutoa mawazo yao mimi nisingekuwa mfanyabiashara leo hii.
mkuu hakuna uchoyo hapo,
 
Mm nataka partnership!

Ww huwezi kuniajiri, eti nikuuzie business idea then uniajiri!?

Kajipange!

Kuna watu tuna shida ndugu, na mtaani tumechoka. Huwezi jua, labda ndo sehemu za kutokea kwa kushirikiana na watu kama hawa. Faida itakuwapo kwa pande zote mbili.
 
Mm nataka partnership!

Ww huwezi kuniajiri, eti nikuuzie business idea then uniajiri!?

Kajipange!

mkuu hauko sawa mimi ninachokitaka ni mtu mwenye uhitaji kama business idea hapa Tanzania zinafanana hakna mpya hata ulizo nazo wewe siyo mpya,
 
Nakusaidia tu, sitaki malipo. Fungua ofisi ya Recruitment ;-
Wafanyakazi wa majumbani kila kichwa $2000
Wafanyakazi Mahoteli kila kichwa $2500
Wafanyakazi carwash kila kichwa $1800
Soko kuu lipo M/E , China, Far-East,nk. kama upo tayari PM imed.

Duh! Hii watu hawawezi kuichukulia kama human trafficking?
 
mahakamani??? ....kisa nini hasa!! ndo uaminifu unapatikana huko?? ...mtu aniambie chochote lakini sio habari za mahakamani aisee....kama kazi za siku hizi ndivyo zilivyo peaneni wenyewe tu.

Halafu eti mtaki mil4.na mahakaman juu

By...Free ideas..
 
Ungekuwa fair ungesema utamlipa kwa business idea yake au mtaisajili kwa jina lake. Hivyo facilities, systems na infrastructure zinakuwa zako kisheria na idea inaimiliki yeye kisheria vile vile.

Pointi nzuri hii. Pia hii itakutolea uoga wa yeye kutokomea sababu yeye pia ana kiasi fulani cha umiliki wa biashara.
 
Wenye maslahi wengi ni exploitative....they only think to maximize their wealth!
 
Ungekuwa fair ungesema utamlipa kwa business idea yake au mtaisajili kwa jina lake. Hivyo facilities, systems na infrastructure zinakuwa zako kisheria na idea inaimiliki yeye kisheria vile vile.
business idea gan mkuu?
 
Back
Top Bottom