Buni wazo la biashara mtaji juu yangu

Buni wazo la biashara mtaji juu yangu

Kampuni ya umeme, itakayo fanya kazi zifuatazo
Residential and industrial electrical installation
Generator installation, maintenance and repair of up to 1000KVA
AIR condition installation maintanace and repair
( contractors company
 
Kampuni ya umeme, itakayo fanya kazi zifuatazo
Residential and industrial electrical installation
Generator installation, maintenance and repair of up to 1000KVA
AIR condition installation maintanace and repair
( contractors company

mkuu una uzoefu na hivi vitu??
 
Hahahaha,yaani watu bado wanashawishi hadi mshiko utoke.
Aisee,haya Mkuria Mabere atakuja,we tangu lini pesa ya mkuria ikatoka kirahisi namna hiyo wakati kwao huko ukipita na bus njaa inawamaliza.
 
Nashukuru nimempata mdada kupitia jukwaa hili wa kuniuzia kiduka changu cha nguo na mambo yanaenda vizuri. Karibuni kijitonyama mumuchangie,

leo nina wazo hili.
Kulingana na kuwa na majukumu binafisi,

Nitatoa million mbili kwa kijana yeyote wa kitamzania ambaye atakuwa tayari kubuni biashara au kutafuta fursa au office ya aina yeyote harali.

Hiyo biashara itakuwa yangu yeye atakuwa kama nimemwajiri japo atakuwa amebuni na kuanzisha biashara hiyo.

Leseni nitamchukulia mimi TRA,

Location au eneo au frem ya biashara atatafuta mwenyewe ila nitaiilipia mimi na mumiliki wa nyumba au Frem hizo atanitambua mimi kama mkodishiwa,

Biashara isiwe mobile (easy to be moved).

Bizaa tutaenda kununua wote hadi hapo tutakapoaminiana,

Mauzo ya kila siku yatawasilishwa kwa namna tukavyopatana,

Eneo la biashara ni sehem yeyote mkoa wa Dsm au mkoa wa Pwani.

Awe na umri unaotakiwa kisheria kuajiriwa,

Awe tayari kunipeleka kwa kwa ndugu au mtu anaetambulika.

Atatakiwa kwenda naye mahakamani kwa ajili ya kuapa akiwa na vizibitisho (dhamana) inaweza ikawa barua, vyeti na picha n.k... Hii itasaidia siku akikimbia nikimkamata niweze kumuadhibu kisheria na kihaki.

Jinsia yeyote na Elimu yeyote,

Asiwe mkubwa saana hadi nikawa namuogopa kusaidiana katika kukuza biashara yetu. (umri wa kati tu).


Sihitaji business plan nahitaji wazo lako tu, mfano sema nitafungua Grocery sehem flan au nitafungua stationary sehem flan nk. Na mimi nitapima wazo lako nikilikubali ndo tutaanzia hapo.

awe mwaminifu.
kaka nimeipenda hii gud strategy!
 
loh, naona kitu kidogo watu washaanza kutukanana na kuparuana makucha! mi sijaona kosa la mleta mada, ni kwamba ana kijipesa hicho kidogo lakini hana wazo la biashara, kwa kijana mwenye wazo lakini hana mtaji yeye atamwajiri, sasa sisi tusiohusika sioni tunakwazwa na nini!! tunatofautiana viwango, mwingine anaona laki si mtaji mwingine anakwenda kuikopa saccos, mwingine anaona milioni mia sita ni mtaji mwingine itampa mawazo tu aifanyie nini kwa sababu hana wazo la pesa ndogo kama hiyo! tuacheni jamani kukatishana tamaa, hayo mashaka ya kwamba anatafuta wanawake si juu yetu ni shauri yake kama anatafuta wanawake, lakini sijaona kama amespecify kwamba wadada tu ndiyo wanaruhusiwa!
umeongea kwa hekima sana, Mungu akubariki. huo ndio ukweli pia ingewezekana kushauriana kwa hekima kuliko kutukanana jamani haipendezi. hapa tunashauriana na kupeana mawazo mbadala yenye lengo la kujenga kuliko kubomoa.
 
Back
Top Bottom