kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,752
- 595
naona saizi wanazimiwa MIC
mabumba kachemka. anamtaka sugu afute maneno ambayo hakuyasema na sugu kamkumbusha alichosema. ni kuhusu ulimboka na kufananisha na sudan ambapo bashir alitumia janjaweed kuua watu na sasa yuko ICC.