Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

apendekeza iundwe tume huru kama ya dr.mwakyembe kuchunguzuza hilo suala. Mwenyekiti awaka asema hapa sio sokoni. Sasa amchana maige na nyumba ya dola 400, asema bagamoyo kuna ikulu ndo kwa mkulu jamaa anatiririka mbaya.
 
Jamani mbona hivyo vipande ni vifupi sana hata hamsomeki/ hamueleweki?? Wengine tuko mbali na tv, wadau tujuzeni kinachojiri kuna balaa gani uko mjengoni??
 
pa1 sana ma brother, unatoa point kama vile uko jukwaani umeshika kipaza
 
mndhimu wa kambi ya upinzani bungeni Tundu Lisu anaomba mwongozo wa spika, huyu mwenyekiti anamkatalia, Lisu analaani kitendo hicho
 
hawana sera magamba! siku ya kifo cha dhaifu sijui nitakwenda bar gani kunywa! kha! labda nitangulie mimi, lakini akianza yeye ni sherehe tu siku hiyo!

Mama watoto wangu kumbe una hasira hivi? Ngoja nikakubembeleze kwenye PM uondoe mastress. Siasa za nchi hii zina wenyewe bana.
 
Huyu hawezi kabisa kuongoza Bunge anatumia jazba na ana busara hata chembe, lakini mwishowe Sugu kawasilisha point nyumbani....................eti anatisha suala la Ulimboka lisiongelewe
 
Back
Top Bottom