Bungeni: Sugu awachana wabunge Vijana wa CCM na kawahusisha na utekaji wa Dr. Ulimboka

Katika kipindi cha bungw jioni hii wakati anachangia hotuba ya ya bajeti ya ofisi ya Rais utawala bora Sugu alianza kwa kusema wale waliyomteka dk Ulimbóka na kama janjaweed walitumika na Alibashiri wa sudan hoja iliyompelekea waziri Mary Nangu kuomba muongozo wa ambapo alisema anaomba Sugu adhibitishe kauli yake ambayo hata hivyo hakusema ni kauli gani ndpo mwenyekiti alipomtaka kufuta kauli ya Janjaweed alitumika kukumtesa Dr. ndipo zogo likiąnza Sungu kagoma, Lisu anataka muongozo anakataliwa ikawa shika nikushike Mwenyekiti akapanic akajikuta anamruhusu sugu kuendelea kuchangia na amekataa kufuta kauli aliyoitaka kusema ambapo aliomba tume huru iundwe kuchukuza tukio hilo.
 
Lissu kapewa nafasi anachana mary nagu na mwenyekiti walivyochemsha
 
Uzuri magamba yanateswa bungeni na majimboni, bunge Likiisha M4C, inaanza upya jimbo hadi jimbo mpaka kieleweke
 
Dah! Huyu mwenyekiti wa bunge kaniacha hoi.Ameogopa mwongozo wa Tundu Lissu kakataa kumruhusu kuongea
 
Mama watoto wangu kumbe una hasira hivi? Ngoja nikakubembeleze kwenye PM uondoe mastress. Siasa za nchi hii zina wenyewe bana.
BABA WATOTO MPAKA HUKU, UPO NYUMA YANGU KHA! TWENDE ZETU PM! HAYA NI MAMBO YA zomba na wenzie
 
Last edited by a moderator:
sijui kwanini kikao kikisimamiwa na huyu Mabumba lazma kuwe na sintofahamu! mpaka amalize jioni hii anaweza akatiwa singi au akarushiwa pipi!
 
Huyo Mwenyekiti Mchemfu mnakumbuka alifanya nini bunge lilopita?
 
Huyu mwenyekiti loh hovyo kabisa sijapataona afai kuwa mwenyekiti wa bunge.
 
mheshimiwa sugu ametoa tamko kuhusiana na suala la kipigo cha dokta ulimboka embu tubadilishane mawazo hapa,serikali ipo sawa kutokujadili ilo?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom