Bungeni: Somo la hesabu laibua mjadala

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
mbunge wa bukoba kasema kwa kuwa hakuna walimu wa hesabu mashuleni NECTA isipige penalty kwa wale wanaofeli somo hilo
 
Huyo mbunge hana sifa za kuwa mbunge na hapa anawakilisha aina ya wabunge wengi wa CCM, 2015 tujitahidi kuingiza wabunge wenye upeo wa kufafanua mambo na kusaidia nchi hii kusonga mbele.
 
mbona yule mweka hazina wa ccm alisema kitendo cha kupandisha pasi mark za kwenda ualimu kitawafanya wenye 4 wengi wakose nafasi za kusoma
 
hayo ndiyo huwa majibu rahisi ya wana ccm!mwakyusa kashangaa jimbo lake kuongoza biology huku hakuna maabara za vitendo
 
Huyo mbunge hana sifa za kuwa mbunge na hapa anawakilisha aina ya wabunge wengi wa CCM, 2015 tujitahidi kuingiza wabunge wenye upeo wa kufafanua mambo na kusaidia nchi hii kusonga mbele.

huenda ikawa mpwaye kapigwa penati sasa anataka kuiondoa hisabati ili mwanae akimaliza mwaka huu yasimkute kama ya mpwaye lo!Polisi huku kibilashi ni wachache basi kirahisi tu vituo vya polisi vifunge,madaktari muh2 ni wachache atasema hospitali zifungwe,nawahurumia wenye mbunge kama huyo ushauri wa bure kwao 2015 si mbali kuondokana na aibu ya mbunge kama huyo.
 
Back
Top Bottom