Bungeni: Serukamba aomba radhi

Na bunge ni sehemu nyeti sana ya nchi, tena yenye kutolea maamuzi mazito. Hii anatakiwa awajibike zaidi siyo kusema tu samahani. Pengine, iwe ndo mwanzo wa sheria kali dhidi ya watumia lugha chafu sehemu za public kama hizo.
 

Mpumbavu kama aliyetukana.unamsifia kwani alijua yuko baa!hata baa lazima staha!CCM wamepanick kabla ya game yenyewe mwaka huu mtajibeba na kesi za kutengeneza!
 
Tatizo CCM wanajiona wao ni kama malaika wasiokosea,lakini mie naona tuwaache waendelee kupumbazika na hilo ndio anguko lao.
 
Bahati nzuri wabunge wa CHADEMA hawana matusi makali namna hiyo, CCM wataalamu sana. Na wanajiamini kupitiliza...wanachekewa, hawachukuliwi hatua!

Angekua mbunge wa CHADEMA ameikosoa serikali kwa ukali ama kuongea ukweli mchungu, ingekua bonge la topic na isingeisha...huu ni uonevu,bahati nzuri mbunge wa CCM ameanza na matusi mazito mazito...CDM tukiwapa vidonge vyenu halafu mtusulubu "HATUKUBALI" in Dk Slaa Voice..
 
Badirisha heading isomeke "Selukamba 'ajamba' Bungeni Ndugai akauka"! Kwa mujibu wa yule mbunge wa Zanzibar! Kama sisi tulioko madongo poromoka tumeusikia ushuzi wa Selukamba unanuka, iweje Ndugai hajausikia? Yaleyale, kunya anye kuku, bata akinya-kaharisha!
 
amesemaje tena serukamba au ndio ile F** UUU?
 
Naskia ameomba radhi wadau...kama ni kweli kaomba radhi amekomaa kisiasa...kna nkamia walkataa kuomba radhi
 
Inamaana hata asubuhi aliyekalia kiti aliuchuna kana kwamba hajasikia maneno hayo?
 

Ni vema katambua kosa na kuomba radhi
 
Kama serukamba kaomba radhi ana busara....hivi "inkoskaz" bwana membe alishawahi kuomba radhi kuhusu kauli yake aliyopitoa itv kwenye kipindi cha dakika 45 kuwa ana maadu 11 na wawili ni waandshi wa habari na atawpga kwa mkono wake na akipata urais atawapeleka uhamishoni kenya?
 
Kama serukamba kaomba radhi ana busara....hivi "inkoskaz" bwana membe alishawahi kuomba radhi kuhusu kauli yake aliyopitoa itv kwenye kipindi cha dakika 45 kuwa ana maadui 11 wanasiasa 9 na waandshi wawili wa habari na atawpga kwa mkono wake na akipata urais atawapeleka uhamishoni kenya? cz ni kauli hatari uktegemea nafasi yake na yanayotokea
 

hahahah kaka yangu bwana, eti kuachia ushuzi wakati wa kula; hahahahh!
yaani nimecheka mpaka basi, nikiimagine kule kwa babu Msuva mmekaa mnakula wali uliopikwa na mafuta ya karanga kwenye mbehe na kamwiporu kalikoungwa karanga jioni hiyo na ushuzi ule wa 'psyuuuuuu' uliojitahidi kuubana unatoka. LOL
 
Beethove JF Si sehemu ya matusi katukane kwenye wall yako ya Facebook vp nyi vjana wa mdmu
 
Beethoven JF Si sehemu ya matusi katukane kwenye wall yako ya Facebook vp nyie vjana wa mdmu?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…