Maana ya Bunge inapotea kabisa , Yan dakika ni sita, then wanataka utumie dakika tatu kusifia Tu mambo gani sasa hayo.?
Sasa why wako bungeni kama Kila kitu kipo sawa?
Inatakiwa kutoa changamoto ili kuboreshwe sasa wao hawataki hayo mambo wanataka sifa tu
Nilidhani anaomba pete ya dhahabu [emoji23]
Bunge ni kiini macho tu, wanakula hela za bureWabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe za kufurahisha Serikali tu wakati wote, wapo kwa kuleta mawazo tofauti kwa maslahi mapana ya nchi na kukosoa huo ndio utamu wa bunge la vyama vingi vya Siasa.
Sasa Leo mh naibu spika amepaniki kwa issue ndogo sanaaaaaa na kudiriki kusema Kama sio mwezi mtukufu wa Ramadhan angetoa adhabu kali sana kwa mh Ester Bulaya wakati mh Ester Matiko akichangia upungufu wa rasimali watu ktk sekta ya elimu na afya.
Je sababu ya wabunge Hawa kupigwa mikwara na wao kukaa kikmya ni kutokana na uhalali wao kuwepo bungeni? Inasikitisha sana Bunge letu.
Tatizo kubwa ni wananchi wa Nchi hii.Wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe za kufurahisha Serikali tu wakati wote, wapo kwa kuleta mawazo tofauti kwa maslahi mapana ya nchi na kukosoa huo ndio utamu wa bunge la vyama vingi vya Siasa.
Sasa Leo mh naibu spika amepaniki kwa issue ndogo sanaaaaaa na kudiriki kusema Kama sio mwezi mtukufu wa Ramadhan angetoa adhabu kali sana kwa mh Ester Bulaya wakati mh Ester Matiko akichangia upungufu wa rasimali watu ktk sekta ya elimu na afya.
Je sababu ya wabunge Hawa kupigwa mikwara na wao kukaa kikmya ni kutokana na uhalali wao kuwepo bungeni? Inasikitisha sana Bunge letu.
Tatizo kubwa ni wananchi wa Nchi hii.
Ilikuwa inatosha kabisa KIKOKOTOO na Ajira kuwafuta kazi mawaziri wote wanaotetea serikali.
Hoja za CAG zimewekwa pembeni hadi November Watanzania wapo wapo tu.
HILI TAIFA HALINA WATU BALI MAZUZU
Nilichojifunza Naibu Spika hajui maana ya kufunga Ramadan kabisa!
Naibu wa Supika anawakumbusha kuwa wapo bungeni kwa hisani ya CCM!
Kwa hiyo wakileta za kuleta,Mahakama Kuu ya CCM inaweza kuamua vinginevyo!
[emoji3][emoji3][emoji3]Wao wamepewa hisani kuwemo ndani ya bunge huku wakijua hawana chama, sasa wanataka kujitutumua na walipogundua hilo ilibidi wanywee.
Zungu anazeeka vibaya sana,namfuatilia kwa umakini mkubwa,ni mtetezi wa serikali kwa asilimia zoteWabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe za kufurahisha Serikali tu wakati wote, wapo kwa kuleta mawazo tofauti kwa maslahi mapana ya nchi na kukosoa huo ndio utamu wa bunge la vyama vingi vya Siasa.
Sasa Leo mh naibu spika amepaniki kwa issue ndogo sanaaaaaa na kudiriki kusema Kama sio mwezi mtukufu wa Ramadhan angetoa adhabu kali sana kwa mh Ester Bulaya wakati mh Ester Matiko akichangia upungufu wa rasimali watu ktk sekta ya elimu na afya.
Je sababu ya wabunge Hawa kupigwa mikwara na wao kukaa kikmya ni kutokana na uhalali wao kuwepo bungeni? Inasikitisha sana Bunge letu.
sasa wale nao unawaita wabunge? Umekosa kazi ya kufanya? Hakuna kitu pale nimempemda mwamba Zungu. jiulize kwanini hawajaolewa mpaka sasa. Pale hamna kitu ni videbe tu.Wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe za kufurahisha Serikali tu wakati wote, wapo kwa kuleta mawazo tofauti kwa maslahi mapana ya nchi na kukosoa huo ndio utamu wa bunge la vyama vingi vya Siasa.
Sasa Leo mh naibu spika amepaniki kwa issue ndogo sanaaaaaa na kudiriki kusema Kama sio mwezi mtukufu wa Ramadhan angetoa adhabu kali sana kwa mh Ester Bulaya wakati mh Ester Matiko akichangia upungufu wa rasimali watu ktk sekta ya elimu na afya.
Je sababu ya wabunge Hawa kupigwa mikwara na wao kukaa kikmya ni kutokana na uhalali wao kuwepo bungeni? Inasikitisha sana Bunge letu.
Duh ,kweli kabisa pale anayetumia Dakika nyingi kusifia ndo anaongezewa dakika [emoji2]ili asifie zaid,anayeleta changamoto ili zitatuliwe anapewa taarifaaa Kibao ambazo hazina majibu ya hoja Anayatoa ,ni bora hata taarifa Itoke wizara husika na iwe na majibu ya hyo hoja ,Bunge limepwaya Sana
Maana ya Bunge inapotea kabisa , Yan dakika ni sita, then wanataka utumie dakika tatu kusifia Tu mambo gani sasa hayo.?
Sasa why wako bungeni kama Kila kitu kipo sawa?
Inatakiwa kutoa changamoto ili kuboreshwe sasa wao hawataki hayo mambo wanataka sifa tu
Nimegundua pia hasikilizi wabunge wanachoongea yuko bize kutaja Jina la mbunge anayefuata kuongea ili akamilishe ratiba na kutoa matangazo
Wanasahau kuwa lile ni Bunge na sio kikao cha chama
Wako huko bungeni kihalali? Hilo bunge ni kibogoyo la majizi ya kura, acha wafanyiziane tu. Watambue hayo maigizo yao wala hayatupi ladha yoyote.
Wako huko bungeni kihalali? Hilo bunge ni kibogoyo la majizi ya kura, acha wafanyiziane tu. Watambue hayo maigizo yao wala hayatupi ladha yoyote.