Bungeni: Naibu Spika vs wabunge upinzani

Bungeni: Naibu Spika vs wabunge upinzani

Tatizo kubwa ni wananchi wa Nchi hii.

Ilikuwa inatosha kabisa KIKOKOTOO na Ajira kuwafuta kazi mawaziri wote wanaotetea serikali.

Hoja za CAG zimewekwa pembeni hadi November Watanzania wapo wapo tu.

HILI TAIFA HALINA WATU BALI MAZUZU

Ni nchi ya maiti hai.
 
Kwanza mkuu una moyo sana, hata kuweza kufuatilia hilo bunge. Sisi wengine tulishalidharau muda mrefu.

Hahaha ni kwel unatakiwa kua na Moyo lkn mlengwa wa yanayojadiliwa na kuamuliwa ni ww na kizaz chako labda uhamie Burundi
 
Wabunge wa viti maalumu wa upinzani hawako huru kabisa kujadili bungeni kutokana na kupigwa mikwara na kiti Mara zote wanapochangia, kiti kinatakiwa kikubali kuwa hoja za wapinzani sio lazima ziwe za kufurahisha Serikali tu wakati wote, wapo kwa kuleta mawazo tofauti kwa maslahi mapana ya nchi na kukosoa huo ndio utamu wa bunge la vyama vingi vya Siasa.

Sasa Leo mh naibu spika amepaniki kwa issue ndogo sanaaaaaa na kudiriki kusema Kama sio mwezi mtukufu wa Ramadhan angetoa adhabu kali sana kwa mh Ester Bulaya wakati mh Ester Matiko akichangia upungufu wa rasimali watu ktk sekta ya elimu na afya.

Je sababu ya wabunge Hawa kupigwa mikwara na wao kukaa kikmya ni kutokana na uhalali wao kuwepo bungeni? Inasikitisha sana Bunge letu.
TUMKUMBUSHE NAIBU SPIKA HAO NI WENZAO AWAPE NAFASI KAMA WA BUNGE WA CCM SERIKALI IMEKUBALI KUPATA HASARA YA KUWALIPA MISHAHARA YA BIL.8.2 KWA AJILI YA HAO WABUNGE FAKE KUWEMO BUNGENI
dr_cyrilo_1681575841474354.jpg
 
Yes boss wapo kihalali, uchaguzi ulifanyika na matokeo kutangazwa
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hicho kinachoendelea huko bungeni ndio matokeo ya ule upuuzi wa 2020. Hivyo msilielie.
 
Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hicho kinachoendelea huko bungeni ndio matokeo ya ule upuuzi wa 2020. Hivyo msilielie.

Kwa mawazo yako uko sahihi,
Kila mtu na mawazo yake na upeo wake wa kuona mambo
 
Hahaha ni kwel unatakiwa kua na Moyo lkn mlengwa wa yanayojadiliwa na kuamuliwa ni ww na kizaz chako labda uhamie Burundi

Acha tu waamue watakavyo hadi hizi maiti hai zitakapoamka. Ila mimi sina muda wa kufuatilia hilo bunge la wahuni.
 
TUMKUMBUSHE NAIBU SPIKA HAO NI WENZAO AWAPE NAFASI KAMA WA BUNGE WA CCM SERIKALI IMEKUBALI KUPATA HASARA YA KUWALIPA MISHAHARA YA BIL.8.2 KWA AJILI YA HAO WABUNGE FAKE KUWEMO BUNGENIView attachment 2592999

Ndio kabisa awaache watoe michango yao na awe tayari wanapokua tofauti na wengine hiyo ndio demokrasia .
 
Tatzo Hata Kama ni maigizo lakin matokeo yake ni kuumiza mwananchi apo ndo shida ipo na ndo panatakiwa kua na umakin wa Hawa viongoz tunaowachagua kituwakilisha bungeni

Viongozi siku hizi hawachaguliwi na wananchi, bali huchaguliwa na viongozi walioko madarakani. Labda yatokee machafuko, au mapinduzi ya kijeshi ndio tutarudi kwenye kuchagua viongozi.
 
Leo Zungu amethibitisha Kuwa Bunge Letu Haliko Huru Kabisa. Ni Kama Kwa Mara ya kwanza Naona Spika Akishawishi Wabunge kukubari kuwa Serikali Inafanya Kazi.

Kama Serikali Inafanya kazi Kama Zungu anavyosema au kujaribu kutuaminisha Kwanini Wabunge wanaendelea kutumia Kodi zetu kukaa Vikao kama Kila Kitu serikalini Kinafanywa?

Ni aibu kwa Mtu kariba Ya Spika Kusema Alicho Kisema. Pamoja na Mapungufu yao Lakini Hoja Ya Bulaya illikuwa Valid. Tanzania Tupo Nyuma kwenye Kuajiri huwezi kutoa Ajira elfu 21 tuuu baada ya muda wote huo. Ili nchi Iendelee inahitaji watu wengi kuwa na Ajira.

Sasa Spika Zungu anakuja kuongea UPUUZI ndio nini sasa?
 
Tatzo ma spika wa sasa wamekua Kama mawaziri wanapenda kujibu hoja za wabunge na kuitetea serikali .Leo Mzee wetu zungu ameonesha tayari anatakiwa astaafu ili apumzikie
 
Back
Top Bottom