Bungeni: Msigwa aongea 'point'

Bungeni: Msigwa aongea 'point'

Mwigulu nchemba aliratibu mauwaji ya tarehe 15.06.2013 ya Soweto - Arusha na mabomu aliyatoa china
 
chadema ndo tunawatetea hawa polisi lakini wanatupiga kutokana na matakwa ya ccm
 
Wapo police wenye akili na viongozi wetu wanatambua hilo, wapo mandodndocha bendera fuata upepo hao tuta deal now!
 
ivi tunashindwa kuchangia mada kwa hoja za kisomi bila kuweka ushabiki wetu wa vyama
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Naona ushaamka tayar kwa kupiga domo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu, nakubaliana na wewe kuwa wengi wa wabunge huko walikotoka hawakuwa kwenye misingi hiyo ya imani, hivyo kuwapa vitabu vitakatifu inaweza isiwe na tija. Ila nadhani una mfahamu Msigwa, huyu ni mchungaji, ana ongoza wana kondoo wa bwana, iweje yeye awe kinara wa matusi awapo bungeni? au akiingia bungeni ndio kuna ukomo wa uchungaji wake?

Wengi wanaochangia hawajafuatilia mpishano wa muda unaotumia kujibu au mtiririko wa uchangiaji wako na kufahamu kuwa hii ni kazi yako na unalipwa kwa kufanya kazi hii na hao unaowatetea. Kila baada ya sekunde kadhaa umejibu uzi kwa kupinga hoja zenye mashali ya TAIFA. Kwako hakuna swala la maslahi ya KITAIFA, ila ni kutetea ccm kwa kwenda mbele mpaka itakapokoma kukulipa.

Kwa hiyo wenye akili baada ya kusoma hii wataelewa ila nawasihi waendelee kukuelewesha ili njaa itakapoisha au ukipata ajira yenye tija uelewe kuna swala la maslahi ya NCHI na wewe ni mwananchi kama hao unaowapinga japo ni kazi.

NB: Kwa wajihi unaotumia kwa kulipwa endelea kupinga, no problem, watoto waende choo, ila uweke na wajihi mwingine kuchangia hoja kama mwenye akili timamu ...
 
polisi hawaaminiki kwa sababu wanasilikiliza hoja za kipumbavu za viongozi wapumbavu wanaoongoza nchi hii
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?

Sometimes wana sifa sana banah!!! Hebu fungua picha hapo chini

Wenzako wamejikita kwenye vitu vyenye kufikirisha zaidi, wewe wamekuachia topic flani hivi za kijuu juu na kwa uwezo ulonao kwa kweli unazimudu kwa kweli!

Basi ukipost kitu unajiona GT!! Rep power mia mia! Number of posts mia mia!
Content ya matumizi brains katika post ndo 6.17%!! Yaani ni ile ya kuongoza muscles wakati wa kubonyeza keyboard tu!
 
Siku zote Mh. Mch. Msigwa anaongea "pwenti" mkuu!
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?

Vipi naye Kamuhanda hakuwa na nyumba kule Nyororo ndo hasira yake kaipeleka kwa kamanda Mwangosi? Wewe HAMY-D unajaribu kusema yasiyo sahihi. Mbona uzi wa jana Dr. Slaa kesha fafanua hayo yote baada ya ninyi kumsingizia eti amenyanyaswa na mapolisi uwanjani na kuzuiwa kupita VIP? Kurudia mambo yale yale ukitarajia matokeo tofauti mi sitaki kutoa maana hiyo kwako maana nitapigwa ban na mod. Kwa hiyo tafakari ukiona linakufaa sema aksante kwa JF kunielimisha sintorudia mambo yale yale kwa sitaili ile ile na kutarajia matokeo tofauti maana nitakuwa nimekuwa ....
 
Kwani POLISI ni wabaya, ni hao wakuu wao wanaopokea maelekezo ya kijingo toka kwa watawala na kuwapa amri polisi kutekeleza uvunjifu wa sheria na amani. Usituletee maneno ya Mh. Lukuvi wakati mnajua Jeshi la polisi hivisasa linaongozwa na IGP Mwigulu Nchemba.
Kwani hao wakuu wao wanaopokea maelekezo ya kijingo kutoka kwa watawala SIYO POLISI?. Zero rational being.
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?

Ni kwa vile ana kesi mahakamani ndo maana amekuwa mpole...............................'
 
The only thing you dont know, ni ukweli kwamba baadhi ya hao polisi ndiyo wanatupatia siri za ndani kabisa za jeshi la polisi. Wewe unafikiri huwa tunajuaje mipango yenu ya kuihujumu chadema? Kuna polisi ambao ni watiifu kwa CHADEMA na hao ndiyo tunaowahurumia.

Anajiandaa atakapokuwa waziri wa mambo ya ndani katika serikali ijayo makazi ya polisi yawe yameshaboreshwe, abakie na kazi ya kuwatafutia vitendea kazi vya kisasa tu,
 
Hata wewe polisi unayetumwa kuua hivi huwezi kutumia akili zako kidogo kufikiri??

Ni mazuzu,yaache tu, si tupiganie uhuru na uongozi wa kweli utakaoleta maendeleo ya nchi,na yenyewe yatakula kuku pia.
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?

Kuna shabiki wa CHADEMA amejenga chuki na polisi na unaweza ku prove unachosema?? au watu wanajenga chuki na polisi kutokana na wanachokifanya kwa kutumiwa na CCM??Acha kuchanganya maneno na kutuzungusha akili zetu, always jaribu kujenga hoja zenye maana na sio kuongea kitu ambacho wewe mwenyewe hujui nini unaongea na unafki....
 
Mwigulu nchemba aliratibu mauwaji ya tarehe 15.06.2013 ya Soweto - Arusha na mabomu aliyatoa china
Lakini bahati mbaya ilioje, hata kama CCM itatrain jeshi na kuanza kuua watu barabarani, hakuna sheria yoyote inayoweza kuchukuliwa dhidi yake. Lakini chadema wakijikwaa wakaangukia mtu wanafutwa. Hii nchi inandeshwa kwa utashi wa watu na si sheria. Hivi sheria ya vyama vya siasa ndiyo inasema chama tawala hakifutwi hata kikivunja sheria? Nitashangaa kama wanaharakati na wanasheria hawatataka Tendwa ajiuzuru.
 
Acha kumvunjia heshima IGP Mwema, hakuna mtu asiye jua kuwa Mwema ni jembe, makosa ya kiufundi yanayo endelea kwa sasa ni mapungufu tu ya kiutendaji. Ifike wakati tujifunze ku-appreciate.

Lumumba hukosi cheo.. utakuwa kiongozi wa wale wa buku 7. maana hutulii
 
Kumuita Kinana jangili nayo point? kushika biblia bungeni huku akishusha matusi kwa watawala nayo point? kwa hili la leo nimempa viji-credit kidogo na ningependa wapinzani wengine wafuate mwenendo huo wa Msigwa!!

Kwenye Blue, wewe unafikiri jina gani linamfaa zaidi ya hilo?????
 
Back
Top Bottom