Binadamu ni mtu wa kupenda tu haki, yeye kila kitu atasema ni haki yake, leo hii mimi naweza kusema ni haki yangu kwenda Ikulu kwa sababu ni jumba la taifa tena nikijisikia naenda muda wowote, hii ndio akili ya mwanadamu. Lakini, napenda ufahamu kila kitu kinaendeshwa kwa kanuni, taratibu na sheria.
CHADEMA hata kama ni haki yao kufanya hayo wanayo yafanya, kwanini wasifuate kanuni na taratibu zilizopo? nikupe mfan, ukiangalia tukio la hivi juzi Arusha, mpaka wakasambaratishwa kwa mabomu, ni kwa sababu ya ukaidi wao kwani lile eneo hawakupata kibali kutoka AICC kuendesha shughuli yao ya mkutano!

Msigwa siku zote anaongea point tupu. Ni mtu anayesema Facts zaidi na sio myths.