Bungeni: Msigwa aongea 'point'

Bungeni: Msigwa aongea 'point'

Ni aidha huwa umelala au umevaa miwani ya mbao, Mh. Msigwa km walivyo wabunge wengi wa CDM huongea pointi zenye maslahi kitaifa, ishu ya ujengaji chuki na polisi cyo polisi wote ni wabaya na CDM ingawa mi cyo msemaji wao huliongelea hlo cku zote, ni amri za magamba na wakubwa wa polisi ndo zinazowachonganisha na wananchi na cyo CDM pekee yake
 
Muanzisha mada jaribu angalao kutumia hata 0.01% ya ubongo wako kufikiri. Haina maana mtu akimlaum mtu fulani kwa maovu anayoyafanya basi asimtetee huyo mtu hata pale haki zake zinapobinywa. CHADEMA tunachukia matendo mabaya yanayofanywa na polisi kuua raia wasio na kosa, haina maana tusiwatetee hao polisi wanyimwapo haki zao, hiyo hulka ni yenu magamba. Chadema tunapigania haki ya kila mtanzania bila kujali itikadi zake. Hongera sana Msigwa. Peopoooooooooooos power.
 
Mashabiki wa CHADEMA wala hawana chuki na polisi isipokuwa ni pale wanapo jua kuwa wana haki ya jambo Fulani lakini polosi hawataki haki hiyo itimizwe, kila mtu anajua umuhimu wa polisi lakini polisi wanapoamua kuwa vibaraka wa CCM hapo ndipo fujo huzuka

Binadamu ni mtu wa kupenda tu haki, yeye kila kitu atasema ni haki yake, leo hii mimi naweza kusema ni haki yangu kwenda Ikulu kwa sababu ni jumba la taifa tena nikijisikia naenda muda wowote, hii ndio akili ya mwanadamu. Lakini, napenda ufahamu kila kitu kinaendeshwa kwa kanuni, taratibu na sheria.

CHADEMA hata kama ni haki yao kufanya hayo wanayo yafanya, kwanini wasifuate kanuni na taratibu zilizopo? nikupe mfan, ukiangalia tukio la hivi juzi Arusha, mpaka wakasambaratishwa kwa mabomu, ni kwa sababu ya ukaidi wao kwani lile eneo hawakupata kibali kutoka AICC kuendesha shughuli yao ya mkutano!
 
Muanzisha mada jaribu angalao kutumia hata 0.01% ya ubongo wako kufikiri. Haina maana mtu akimlaum mtu fulani kwa maovu anayoyafanya basi asimtetee huyo mtu hata pale haki zake zinapobinywa. CHADEMA tunachukia matendo mabaya yanayofanywa na polisi kuua raia wasio na kosa, haina maana tusiwatetee hao polisi wanyimwapo haki zao, hiyo hulka ni yenu magamba. Chadema tunapigania haki ya kila mtanzania bila kujali itikadi zake. Hongera sana Msigwa. Peopoooooooooooos power.
raia wepi mnaowatetea wakati mnawamwagia tindikali, mnawauwa kwa mabomu, mnawatishia bastola na kuwalisha sumu???
 
CDM ni chama kinachotetea wanaonewa,Police ni moja kati ya makundi yanayonyanyasika na kuburuzwa na watawala.Hivyo cc tunatetea wote.Wewe gamba endelea na uchizi wako.
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?

tunachuki na ccm na c polisi, polisi wanatekeleza tu wanayotumwa na ccm
 
Kumuita Kinana jangili nayo point? kushika biblia bungeni huku akishusha matusi kwa watawala nayo point? kwa hili la leo nimempa viji-credit kidogo na ningependa wapinzani wengine wafuate mwenendo huo wa Msigwa!!

Msigwa na CHADEMA hawahitaj Compliment Kutoka kwa Mandondocha.
So Compliment zako Pelekea Magamba
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?

nani kakuambia polic wote wanaendeshwa kuna wenye busara zao kama baba mkwe wangu ndio pastor amewatetea sio hao mnawowatuma kuua raia ambao awana atia na kuwapa kesi zisizo na maana, wah buk7
 
msigwa anaongea point kila siku tatizo una chuki binafsi ambayo pia imejikita kwenye upeo wako mdogo.
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
kama Mwangosi sio ndugu yako basi ni Mtanzania mwenzako, unafurahia alichofanyiwa na POLISI?
 
Na kwa mara ya kwanza unaleta hoja yenye mantiki.

Naamini umeanza kunusa harufu ya mabadiliko.
 
Kwa mara ya kwanza tangu nimfahamu mhe Msigwa, leo nimeona ameongea kwa staha na utulivu wa hali ya juu alipokuwa akiuliza swali kwa waziri wa mambo ya ndani kuhusiana na kujenga na kuboresha makazi ya jeshi la polisi nchini.

My take;

Leo nimeamini kuwa ile chuki kwa jeshi la polisi inayo aminiwa kutawala kwa wapinzani ni geresha tu, ukweli ni huo alioutoa Msigwa kuwa ana wajali na kuwathamini polisi wetu, iweje mashabiki wa CHADEMA mjenge chuki na jeshi la polisi?
Wewe Kilaza Msigwa ni kichwa! ukweli huo kwenye Red nikama huu hapa kwenye picha!

217031_10151577455024339_1633027877_n.jpg
 
Hivi hujui kuwa taarifa nyingi tunapata kwa polisi?waulize akina Mngulu na Nyombi kuwa kikao chao cha ijumaa
Arusha cha kupanga mikakati ovu dhidi ya uchaguzi wa madiwani tuna full data'
 
raia wepi mnaowatetea wakati mnawamwagia tindikali, mnawauwa kwa mabomu, mnawatishia bastola na kuwalisha sumu???
Mwangosi aliuwawa na mabomu ya chadema, watanzania wa leo ccm amuwezi kuwadanganya,sanasana unawazidishia hasira,kwa nini hamtaki kuelewa hili?
 
Hawa wapinzani twende nao pole pole kwani bado wana tambaa, CCM ndio baba, tunakubali kuwalea. Naona Msigwa ameanza kuelewa somo sasa, bado Lema na Sugu ili kazi ikamilike.
 
WanaIRINGA hawakufanya makosa kumchagua Msigwa.
 
Back
Top Bottom