Nchi hii.
1. Viongozi wana safiri business class kwenda nje ya nchi huku wanao tupa misada wakipanda econimic class
2. Posho inabidi wabunge wachukue uamuzi mgumu sana
3. Viongozi wanatumia magari mapya ya serikali, je ni wangapi wakistafuu wana uwezo wa kuyanunua mapya wakisha stafu?
Kwa kifupi mkuu ameongoe sana na makinda ilibidi aongeze mda makusudi
ah ah ah safi sana mkuuu kumbe nawe umeliona hilo,kashamaliza kila kituNingekuwa ni Speaker Ningesema Nafunga Bunge tukutane Mwakani bunge na Serikali Itekeleze yaliyosemwa na Mbowe
Anasema ni viongoz leo hii wanatembelea magari ya kifahari lakin wakistaaf wananunua Mark II, vitara nk. Leo hii wanatumia magari ya kifahari sababu wanajua pesa ipo serikalin na leo hii wakisafiri kwa ndege hutaka Kusafiria First clas je ni wangap wakistaaf hupanda ndege kwa safari za ndan na hata wakipanda ndege wangapi husafiria First class?.
Hadi spika mwenyewe alikuwa mpole hakuna cha mtu kuomba muongozo wala taarifa,hakuna cha lukuvi wala olesendeka maana hawa wawili ndio wanakiherere cha kuomba muongozo na taarifa.
Kila kikao wanapewa mabegi, tangia awe mbunge analather bag 24 zinaishia kugaiwa kwa ndugu 2.
Hii ni nchi ambayo huwezi hata kujieleza kwa wengine jinsi tulivyo. Hatuwezi kupata mtu makini kuwa Rais, waziri mkuu na hata kupata 1st 11 ya timu ya mpira.
Pinda alipoongea kuteteta posho sikuweza kuelewa kama ana kichwa au ni kifuu cha nazi. Tatizo kubwa ilikuwa kujidai kutumia lugha ya upole ili aonekane ni mwema au muungwana kama zilivyo sifa za watu wa CCM. Baadaye eti anasema posho zinatumiwa na wabunge kuwagawia wapiga kura wao nje ya Bunge!! Nonsense!!
Kwa ujumla lazima tukubali kama kweli hicho ndo kizazi kinachostahili kuwa cha wanasiasa wanaofaa kutuongoza, basi hatuna haja ya kuwa na nchi.