Edson Zephania
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 517
- 112
Msimamo wa kutopokea posho upo palepale, tufanye maamuz kwa maslah ya wananch na si wabunge, walimu, polisi, manesi nk wanapata wapi posho?. Kama suala ni sheria bunge ndo hutunga sheria hvyo pia kunauwezekano wa kubadilisha.
Yahaaaaa ni kweli nimemsikiliza ameongea point mwanzo mwisho,alafu kulikuwa na utulivu wa hali ya juu pindi anaongea.
Kasema nini sasa mbona hutuhabarishiKwa kweli leo freeman mbowe ametoa yaliyoko moyoni mwake kuhusu posho za ubunge na unafiki uliopo bungeni.