Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,677
- 5,030
Hakika hii hoja siyo tu ni kichekesho, bali inäonyesha jinsi Mh. Mbunge wa kuteuliwa, Salma Jakaya Mrisho Kikwete alivyo so ignorant licha ya elimu, social status, life opportunities na broad intellectual exposure at the highest level aliyo nayo. Swali la muhimu ni kwanini hakutumia influence yake kwa mumewe moja kwa moja akiwa kama mke wa Rais kipindi kile kufanikisha hayo anayodai?