Bungeni: Mama Salma Kikwete aiomba Serikali kurudisha sarafu za Senti 5, 10, 20 na 50 zitumike kufundishia

Mbunge wa Viti Maalumu, Salma Kikwete (CCM), ameiomba Serikali kurudisha kwenye mzunguko sarafu za senti tano, 10, 20, 50 na Sh moja ili zitumike kama zana za kufundishia shuleni kwa kuwa waliozaliwa miaka ya 1990 na kuendelea hawazijui.
Ili isaidie nini? Hili Bunge la day dreaming vituko .......after independence! \kauli kama hizi zilikuwa zinapatikana baada ya uhuru bungeni kwa sababu waliochaguliwa hawakujua wako pale kufanya nini! Mbunge alikuwa anasema lolote
 
Kichwa cha habari tofauti na contents, mi nilidhani itumike kununua vitu, sasa kama ni hivyo si wataiona kwenye majumba ya kumbu kumbu, ndo maana yanajengwa, tukienda hivyo hata zile museum zitakosa vitu vya kumbu kumbu.
Kwani kila mwanafunzi ana access ya kuona hayo makumbusho.
 
Back
Top Bottom