Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri
Nadhani wewe ndo wa kukunwa maana hujui mpaka leo kuwa Mh Mnyika ni maarufu zaidi ya mkweo,hizi kauli za watu kutafuta umaarufu zinatolewa na watu waliokufa akili tu.na mara nyingi viongozi wa bunge wanatoa kauli za kutafuta umaarufu pale wanapoona wanazidiwa na hoja NZITO zinazotolewa na vijana makini kama Mnyika.Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri
Hao PCCB hawaruhusiwi kufungua shitaka/kesi Mahakamani bila "ruhusa" ya Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP). Usifikiri hata siku moja kuwa hao PCCB wako huru kama tunavyodanganywa na wanasiasa wetu. Tz tuna tatizo kubwa la mifumo yote.Mbunge wa Kisesa CCM anawashangaa takukuru na Pcb walio iba fedha BOT wanawajua mbona wako kimya?
Anadai hakuna Akounti inayofunguliwa nje ya nchi bila kujulikana na BOT
Ukizaliwa tanzania, ukakulia tanzania ukasomea tanzania na ukafia tanzania wewe umepoteza muda wako...
Wewe haitwi tena Mh. Mnyika kuanzia jana hansad za bunge zimemuandika Mh. Washwa washwa, kwa hiyo kitu kinacho washa dawa yake ni kukunwa tu, ila ni kweli Mh. Washwa washwa anatafuta umaarufu sio siri
aaaah,,,,,,hawa jamaa ni dugu moja????Mbunge wa Kisesa CCM anawashangaa takukuru na Pcb walio iba fedha BOT wanawajua mbona wako kimya?