Smart move....nimempa credit Pinda kidogo..nilikuwa nasubiri achemke tena na tamko lake tushinde hii vita kilaini! All in all, Serikali tamko itatoa tu...liwe negative au positive, watatoa...soon!
Katika kipinda cha maswali kwa waziri mkuu. Pinda amesema kuwa hawatarajii kutoa tamko leo. Anasema bado wanaruhusu majadiliano na madaktari lakini kwa hatua za dharura wanafikiria mpango wa kuwarudisha madaktari wastaafu kazini na kuwachukua wote ambao wapo wizara ya Afya.