Bungeni Live: June 19, 2012

Mangungo ana sema haungi mkono hoja wal wal hapingi hoja,huu nadhani ni uchizi.
 
Wagonjwa hao ni Somalia, Afghanistan ndio nchi zinazotakiwa kuwa ndizo zinatakiwa kupewa misaada lakini si Tz
 
Kafulila katoka nje ya mada, hajachangia bajeti hadi sasa hii inatia aibu
 
leo mchangiaji wa kwanza alikuwa ni mbatia na sasa anachangia Kafulila.

baada ya mbatia kumaliza kuchangia,kafulila alimpa mkono wa hongera

nategemea kafulila nae akimaliza mbatia atampa mkono wa hongera kwa kuinanga bajeti ya serikali.


NB.kafulila kumpa mkono hasimu wake mkono ambaye amemfukuza kwenye chama ni dhahiri kuwa hawa watu wamezika tofauti zao,uzalendo kwanza.
 
kafulila anamsifia mwenyekiti wake mbatia kwa mchango mzuri,hii kaitoa live bungeni
 
lusinde: tukitangulize ushabiki tutaangamiza nchi yetu lol
 
Lusinde: kuna watu wanazungumza bila utafiti, mbona bajeti ya zitto ya mwaka jana ni sawa na ya mwaka huu
 
Mipasho jamaniiiii anabwabwaja na kejeri, vijembe na matusi
 
Lusinde: kiongozi wa upinzani mnafiki, kakataa gari lakini analichukua na analitumia
 
Lusinde: Bunge sio sehemu kampeni, inakuwaje watu wanakuja kupiga kampeni?
 
anachangia bajeti anawaponda wapinzani kuwa na wao hawana jipya, copy and paste
 
Lusinde: Bajeti ya chadema UONGO MTUPU, mbona haizingatii ilani ya uchaguzi ya chama chao, mbona hatuoni elimu bure kwenye bajeti yao, UONGO MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…