Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

Mhe.Sakaya amependekeza atakayegundulika amekula pesa ya umma apigwe chuma finish.Role modal China
 
Ndio kilichompeleka Bungeni. Sasa tatizo lako ni nini Nasari akiongea?. Ulitaka atulie kama Wasira au Abood?...
 
Subiri Majibu ya Serikali Utastahajabu ya firauni......unachezea viwavi jeshi wewe!
 
Wabunge wameanza kikao cha Jioni kujadili taarifa za Kamati tatu za Bunge, Kamati ya Hesabu za Serekali, Mashirika ya Umma na Serekali za Mitaa. Jumla ya Wabunge 51 wameomba kuchangia.

Silikiza kupitia TuneIn Web Tuner

Kindly LIKE Tunein page ikifunguka.
Mkuu nakupa salamu za shukrani kutokana na hii link

shikamoo mwanangu
 
kesha anza kwa cheche aifananisha nchi na saccoss jinsi watu wanavyochota pesa bila kufuata taratibu za manunuzi
 
Back
Top Bottom