Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,649
Watanzania mnapenda sana mazingaoombwe; mnafurahia sana sanaa ya majukwaani a.k.a sanaa ya maonesho! Hivi, mkiulizwa ni kipi ambacho kimesemwa leo na wabunge wa CCM kilikuwa hakijulikanai 2006? Jibu " leo wamezungumza vizuri sana, wameonesha makali yao".
Tukiuliza huu ukali unatofauti gani na ule uliooneshwa na wabunge wa CCM kwenye Richmond mwaka 2008? mtasema yeah ule ulikuwa ni kwa ajili ya Lowassa?
Tukiuliza ukali huu unatofauti gani na mjadala kama huu mwaka jana au mwaka juzi? mtasema ndio lakini safari hii mmoja wao kasema mafisadi "wanyongwe" kana kwamba ni mara ya kwanza mtu kussema hivyo bungeni!!!
na CCM wanajua sanaa wanawapa wananchi kile wananchi wanataka!!! Kitu pekee ambacho wamewanyima wananchi ni mabadiliko!!!
Muswada uletwe wanyongwe!

kwa kweli naona wabunge wote wamekuwa kitu kimoja katika kukosoa matumizi ya serikali nimefurhishwa sana kwa hili. CCM tafadhalini chukueni kwa makini ushauri wa Mhe Godfrey Zambi. 2015 mtapata shida sana kuomba kura kutoka kwa wananchi msipokuwa makini aliyosema Mhe Zambi yatatokea yaani chama chenu kinaweza kisipewe tena redhaa ya kuongoza serikali.
Mkuu dudus, unamaanisha wana Igunga wameuziwa mbuzi kwenye gunia?
Wenyewe wapo bungeni, wataupinga kwa kutoa shilingi.
Rais yuko Brazil
Waziri wa fedha yuko marekani
Waziri wa maji yupo marekani Waziri wa madini yupo Brussels
Waziri Mkuu yupo eneo la bunge lakini sio ndani ya bunge
Bunge limehairishwa hadi kesho.
Tune in kesho saa tatu asubuhi
godfrey zambi.may be ataongea point even though kafulila caught him begging mdudu haramu