Bungeni - Kashfa ya Rada Wenje ailipua upya

Bungeni - Kashfa ya Rada Wenje ailipua upya

Lakini ninyi akina Kikwete, Chikawe na Membe, mumepokeaje fedha na hata kuzipangia malengo ikiwa fedha hizo hazikwenda huko kimakosa? Najua wengi tuna tatizo katika Logics na figures za syllogism, lakini hapa hata mtoto atajiuliza, hivi ni mfanyabihashara gani atakosea hesabu kiasi hicho, halafu akubali kurudisha fedha kwa kuambiwa tu? Na huyu mnunuzi aliwezaje kukaa kimya kwa makosa ya hesabu makubwa namna hii? Tunajua kununua Rada si sawa na kununua fungu la nyanya. Sasa nawaambieni, mkitaka kututawala kwa mabavu tuambieni tu, sio kucheza na akili zetu ambako hamuwezi, mnajiaibisha tu.
 
huu ni ushahidi mwingine kuwa ima serikali ya kikwete ni ya kifisadi au iko mifukoni mwa mafisadi. Ni aibu kwa watu kama chenge na lowassa kuwa wenyeviti wa kamati za bunge. Wana udhu na jipya gani la kuwatendea wananchi iwapo tamaa yao imeuponza umma wetu? Je haya ndiyo matokeo ya uswahiba wa kikwete na lowassa au mchango wa chenge kuasisi na kuidhinisha wizi wa epa uliomweka madarakani kikwete? Shame on you all! Hata hivyo kwa bunge lenye kujaa wabunge wanafiki na wala rushwa tutegemee nini?
mtajuta kuchagua ccm....na bado..
 
Kwa mwendo huu! tutakuja geukana wenyewe kwa wenyewe,malawi wasipate tabu kikinuka tu!watachukua kiulaini lake nyasa!
 
Back
Top Bottom