Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

Lusinde Livingstone, Mbunge wa CCM Mtera aliposema milango ifungwe haikuwa hoja. Akisema Lema ni CDM!

Sio kweli,tulimsema sana hapa JF huyo lusinde hata lema pia hakutenda haki kwa mbunge tunajemtegemea kuropoka kunamshushia heshima kwanini wasijifunze kwa dr.Slaa,alikuwa anajipanga,uthibitisho wa kutosha na vielelezo hata walikuwa wanashindwa kumkosoa
 
Kwa kuwa tumeshapata kikombe kwa babu,sasa tupo tayari kwa kila pambano,bungeni,nje ya bunge na kwingineko,mpaka nchi irudi mikononi mwa Wananchi!
 
Nadhani sasa bunge linaenda mahala pake, haya mambo ya wajinga wa CCM (stupid solid majority) kujifanya wanazomea wenzao wa upinzani itakwisha
 
Lema kaanzisha na wengine watafuatia, tena safari hii bungeni ni kuingia na bakora,sime,marungu ili adabu iwepo, hawa machizi wa magamba wasituzingue kabisa
 
Jana Mh. Godbless Lema alidhihirisha kile watu wengi wanachokihofia kuhusu Chadema, pale alipotaka milango ya bunge ifungwe na badala yake washindane kwa ngumi badala ya hoja!
Kweli Chadema ni hamnazo!

Yaani we ndo unaona kuwa mazezeta ndo deal? kubuzwa kwa viongoz hapo zamani kwa sababu waliongoza mbumbumbu, sasa kizazi hiki ni cha kutaka kuhoji na kujua Nikwamba hiki kizazi hakikuchomwa sindano za pepopunda kama vile wazungu walivyo wadanganya kumbe wanawafanya mazezeta, hiki ni kizazi kilicho enda shule na si-rahisi kuburuzwa.
 
lEMA ALIPEWA KURA NA WAMACHINGA NA MAMA NTILIE MASKINI WA KITANZANIA, LEMA HAKWENDA BUNGENI KAMA WALE MASHOSTI WALIOPELEKWA KWA KUPIGWA BUSU NA WAKUBWA, WATU WALIVUNJIKA MIGUU NA WENGINE WAKAWEKWA LOCK UP LEMA. ana uchungu na anajua ametumwa kusimamia kweli, haki na usawa bila kujali wingi ikibidi kwa gharama yeyote. usitegemee kuwaona wabunge wa aina yake wakiwa humble kwa hawa nyoka waliojivua magamba. aluta continua lema
 
Nadhani sasa tunaona changamoto kama mabunge mengine ,Kenya ,Uingereza na mengineyo sio watu wanaingia bunguni kulala ,wakisikia meza zinagongwa wanashituka na kuendelea kugonga meza kama wanaelewa kinachoendelea
 
ulijuaje kama ni lema.? mm ni mbunge. aliyetamka hayo ni lukuvi na aliyesema anywe kikombe ni january. unabisha.

Ahsante Mheshimiwa. Kumbe CCM ndiyo migomvi, wakiwashinda wingi, watoe nje ya ukumbi wa bunge wadundwe na wananchi wenye hasira kali. Mkifika nje shout 'wezi hao, wezi hao...muone watu watakavyotoka na videbe vya petrol kuwachoma moto.
 
Eee kweli Nchi hii imefikia pabaya sana...Watu mnaakili zenu wasomi na professions zao mnashabikia mambo ya kipumbavu! Lema kubweka kijinga bungeni mnaona kafanya la maana? CDM nawajua sana, Lema na Mbowe nawafahamu sana. Nimetoka jimbo la Hai...kampeni yake nilishiriki lakini wakati huo huo namfahamu Lema personaly. Lakini siungi mkono upupu huo wa Lema maana sio ya kiistaarabu. Tunahitaji mabadiliko ya kweli na hatukubaliani na upindishaji wa kanuni pindishi zinazofanywa na wana ccm lakini pia hatukubaliani na namna CDM inavyowasilisha mambo kwa nguvu badala ya nguvu ya hoja! Ninyi mnaoshabikia mambo haya ya kipuuzi ndio mtakaopelekea nchi yetu tukufu katika machafuko! Tupambane katika kutafuta haki na mabadiliko ya kweli lakini tuongozwe na ustaarabu, hekima na busara...Hakika tutafika na ushindi ni Hakika!

Crapppp.
Hivi kama wewe ni umemezwa na lundo la wajinga unategemea nini? Kwani hata kama ukiwaambia ukweli bado watapinga kwa nguvu na kejeli nyingi so kitachofuata kwa anayetaka kusimamia ukweli japo wapo wachache ni kuwapa kichapo ili next time wajirekebishe waacha mambo ya kijinga.
 
Tena mie natamani spika angewakubalia wakafunga, sahizi watu wangekuwa mazishini. Maana wabunge zaidi ya mia2 kwa wabunge chini ya 50.

Akina lema wangepata kichapo kama walichopata mabaunsa kule tegeta. Cdm wao kama wanavyojidai kuwa wana wabunge wasomi, sidhani kama wananchi wamewachagua kwenda kuomba kuchapana ngumi, hili ni tatizo la kupeleka masela bungeni kuwa eti ndio watetezi. Lema ajiandae kukaa mtaani after 2015 election.
 
Sioni la ajabu Lema anafanana kabisa na chama chake, hii itakuwa rahisi sana kuwaeleza watu kwa mifano hai, DVD inayokuja itakuwa ni yake na matukio yake na haitauzwa bali itagawiwa bure kwa masela wenzake.
 
Tuliwapeleka loliondo kupata kikombe, Lakini bado pumba zinazidi kwahiyo karate ni jibu kwao pamoja na wewe boga pori
 
We unaomuona Lema anazungumza hivyo kwa uchungu wa nchi huwaona wale mashoga na "chakla ya wakubwa" waliojazwa mule kiushabiki tu hata kwa mambo yasiyo na faida kwa taifa?

Pole kama we umeogopa, nilipokuwepo mimi ni eneo lililokuwa na watu wengi na wengi wao walisema kama ningekuwa Lema nisingesema kufunga mlango, ningeenda na kufunga mwenyewe na kutwanga mtu

Visichana vyenu na ile mijinga ya kiume mliyoijaza kule ndani kushabikia badala ya kusimamia maslahi ya taifa ndiyo inayoleta adha zote na wewe umeamua kuangalia tokeo la tatizo na sio mzizi wa tatizo....na makonde mtayala sana mpaka mchange akili
watayala lini wakati wakiondoka hawatarudi tena hiyo 2015!!!! mi nawasubili tena kuwapumguza kwenye box letu lieee la kutumbukizaa
 
Mimi namshangaa sana huyu Mbunge wa Arusha mjini ana mambo ya kitoto sana, eti jana alikuwa ataka milango ya bunge ifungwe ili wapigane, shame on you tumewatuma huko mkapigane? please guys stop this stupidity.
 
Shida yako Jesuit hufuatilli bunge na kuunganisha mambo. Waliotoa hoja ya kufunga mlango na kutwangana makonde ni CCM katika kikao cha Februari walipokuwa wakisema CDM wanachochea umwagikaji wa damu. CCM wakito kauli yao hiyo walikuwa wakijivunia wingi wa idadi yao maana kwa nguvu ya hoja wameshindwa sasa wakataka kutumia hoja ya nguvu. Hivyo alichokisema Lema ni kuwaambia kuwa vile mlisema mtafunga mlango tutwangane basi sasa labda ndio wakati mkatimiza adhima yenu.
Sasa hapo nani hamnazo?

tena kama sikosei alikuwa ni mbunge wa mtera ndo alisema wafunge mlango hapo feb wazichape kavu
 
Hao wabunge wengine wanaozomea watu we hawaku bore?.
Mara zote angalia chanzo cha tatizo, Reaction zilifuata baada ya upuuzi wa wabunge wa CCM (Magamba)

Mimi namshangaa sana huyu Mbunge wa Arusha mjini ana mambo ya kitoto sana, eti jana alikuwa ataka milango ya bunge ifungwe ili wapigane, shame on you tumewatuma huko mkapigane? please guys stop this stupidity.
 
Mimi namshangaa sana huyu Mbunge wa Arusha mjini ana mambo ya kitoto sana, eti jana alikuwa ataka milango ya bunge ifungwe ili wapigane, shame on you tumewatuma huko mkapigane? please guys stop this stupidity.

Pombe bana! Mbona wikiendi bado haijafika!
 
Kuna mwanafalsafa mmoja alisema, "Unjust law, is not law at all"

Sheria na kanuni kama za bunge letu zinazotaka kuwakandamiza wapinzani tuu, sio sheria wala kanuni, hata kidogo!

Watu wanafungwa na mambo ambayo hayawasaidii wananchi!
Kanuni zinawekwa kuwabana wawakilishi wa wananchi!

Wabunge wanafuata mkumbo bila kuangalia maslahi ya wananchi!

Spika asiyejali maslahi ya wananchi, sio mwakilishi wa wananchi hata kidogo!




Like it
 
Back
Top Bottom