Bunge Somalia Laidhinisha Sharia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunge Somalia Laidhinisha Sharia

Discussion in 'International Forum' started by X-PASTER, Apr 20, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  MOGADISHU

  Wabunge nchini Somalia leo wamepiga kura kuidhinisha mapendekezo ya kuwepo kwa sheria za kiislam katika nchi hiyo ya pembe ya Afrika.

  Wabunge hao wamesema kuwa wanamatumaini kupitishwa kwa mapendekezo hayo kutasaidia kupunguza mashambulizi kutoka kwa wanamgambo wa kiislam wenye imani kali dhidi ya serikali ya mpito ya nchi hiyo inayoungwa mkono na Umoja wa Mataifa, kwani hilo ni moja katika matakwa yao makuu.

  Waziri wa Habari wa Somalia Farhan Ali Mohamed amesema kuwa wanazuoni na maimamu wataalikwa katika kuipitia upya katiba ya nchi hiyo na kutoa mapendekezo yao kuhusiana na vifungu wanavyoona kuwa viko kinyume na uislam.Mabadiliko hayo yanatakiwa kuidhinishwa na theluthi mbili ya wabunge hao.
   
 2. AljuniorTz

  AljuniorTz JF-Expert Member

  #2
  Apr 20, 2009
  Joined: Jan 6, 2009
  Messages: 544
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Inawekana ikawa ndio njia zuri ktk kuelekea kupatikana kwa amani ya kweli huko Somalia; tuliona kipindi cha uongozi wa kikundi kilichokuwa kinatwa "Mahakama za Kiislamu" uharamia, ujambazi na hata matatizo ya ulinzi yalipingua kwa kiasi kikubwa.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Apr 20, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Tatizo linakuja wakuu wa hii dunia hawataki kuona nchi za dunia ya tatu zinaingia kwenye Hukumu za kutumia Sharia.

  Hawataki kuona nchi za dunia ya tatu zikiishi kwa amani na salama.

  Hawataki kusikia kuwa nchi haina madanguro...


  Hawataki kuona nchi hisiyo taka kuwatumia wanawake kwenye biashara za ngono.

  Hawataki kuona nchi ambayo hakuna wanawake wanao tembea uchi.


  Wanataka kila raiya zao wakifanya utalii waone wanawake wenye kutembea uchi.

  Wanawake wenye kujiuza.

  Wanataka kuona nchi yenye madanguro.

  Nchi yenye virabu vya pombe.

  Kila aina ya uhasherati.

  Kila....

  Hii ndio democracy inayopigiwa kelele na wachache wenye ufahamu.
  They want to see this:

  [​IMG]


  [​IMG]

  Not This

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 4. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #4
  Apr 20, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  X-Paster, what is democracy????. To me everything one is doing by force is not a democracy. This includes being forced to behave in a certain religious manner, dressing, social life, etc. Paster, a human being is also a social being so should be free to choose among varieties of options to maximise his/her social and economic utilities, of course without making somebody worse off. All cassino and prostitute ladies are not forced to be so and customers are not forced to shop the same., but rather in the course of utility maximization. Even in religious, a good man of God is the one who can trade-off the opportunity cost of available social life via-a-vis expected future life according to his belief.
   
 5. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2009
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Somalia's parliament unanimously approved Saturday a government proposal to introduce Islamic sharia law in the country, in a move aimed at appeasing Islamists waging a civil war since 1991."There were 340 members at the session and they voted unanimously for the implementation of Islamic sharia in Somalia," parliamentary deputy speaker Osman Elmi Bogore told AFP.

  Bogore, who presided over the debates in the absence of speaker Aden Mohamed Nur, said: "The bill... is approved by the Parliament.... We have an Islamic government."

  Somalia's cabinet last month endorsed the plan to introduce sharia, a key demand by hardline Islamists who are opposed to the government and who made its application a precondition to stop fighting.

  "Islamic sharia is the only option to get solutions for the problems in this country," Information Minister Farhan Ali Mohamoud told reporters on March 10.

  "This is a big day, we have been waiting this bill for a long time .... I hope this will decrease the violence in the country" Mohamed Dhere, a Somali lawmaker, said after the vote.

  On February 28 President Sharif Sheikh Ahmed agreed to proposals by local and foreign religious leaders for a truce with the hardliners and the implementation of sharia.

  Islamist Shebab militia have already imposed the law in areas of the war-torn country under their control.

  Ahmed, a moderate Islamist, was elected president on January 31 following a United Nations-brokered reconciliation and vowed to form an inclusive government.

  But the Shebab and other militia have continued to battle the government and its allies.

  Clan fighting and rivalry have scuppered numerous attempts to restore stability in the country since it plunged into a civil war with the 1991 ouster of president Mohamed Siad Barre.

  The Shebab, whose manpower was recently boosted with the arrival of some 300 foreign fighters, are also demanding the withdrawal of an African peacekeeping force of nearly 3,500 in the lawless Horn of Africa nation.

  In 2006, when the Shebab briefly controlled Mogadishu and the centre of the country, they introduced Islamic law. It was initially welcomed by the public as it ushered in a measure of security after years of fighting and anarchy.

  But the mood turned sour over strictures banning music and the chewing of khat, a mild narcotic plant with stimulant qualities which is extremely popular in Somalia.

  In March, hundreds of angry bleary-eyed khat addicts in the town of Baidoa protested against the restrictions imposed on the leaf.

  Demonstrators threw rocks at the Shebab forces' vehicles and blocked some streets with burning tyres and tree trunks as the demonstration turned violent.

  Somalia's parliament is officially seated in Baidoa but the town, located some 250 kilometres (155 miles) south of the capital Mogadishu, was recently conquered by Shebab fighters
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Apr 21, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hivi bm21 kuna nchi ambayo raiya zake hawalazimishwi kufuata sheria?
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kwani ww huoni raha mkeo au binti yako akistiri maungo yake na kujihifadhi badala ya kuwa kila mwenye macho yake awe anajua mapaja ya mkeo yakoje, mgongo wake upoje,makalio yake yanatikisikaje,kifua chake.....n.k? mwili wa mwanamke ni wa heshima na unahitaji stara ili uhishimike, ndo maana kwa sharia ni mume tu anapaswa kuona maungo nyeti ya mkewe si kila mtu... wa barabarani, sokoni, madukani n.k
   
Loading...