Omulangi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 1,036
- 265
Nilikuwa napita katika mtandao naona tovuti ya bunge maalum bado iko hewani. ile ya tume ya mabadiliko ya katiba ilifungwa mara moja kwa vile ilisemwa imemaliza kazi zake. Hii ya bunge maalum bado iko hewani, sasa muda wake bado au ni double standard za serkali? Nisaidieni.