Bunge livunjwe kwa sababu limejaa wahuni - Ole Sendeka

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Kwa kweli nimeangalia bunge na kugundua halina maana yoyote na haliisaidii au kuisimamia serikali.wabunge wako kishabiki zaidi wanaboa sana!

Halina maana hivyo livunjwe rasmi na tuitishe uchaguzi upya.

Kuanzia sasa upigaji wa kura bungeni uwe wazi na ijulikane nani alipiga kura ipi katika hoja iliyojadiliwa ili makosa yanapotokea mbeleni tuwahukumu waliohusika.

Update:
Mwananchi | July 13, 2011
 
Wameshaitikia ndioooooo!halafu jioni wanapata ulabu kutoka Tanzania distillers ltd.
 
alipoteuliwa mama anna makinda kuwa speaker nilijua kila kitu kimezimika. tumerudi enzi za kina Sappi na msekwa. hakuna bunge tena mle. mama makinda i tell u hakuna anachoweza kufanya/kuhandle mle
 
Nguvu ya umma iwe juu ya Makinda tuone kama ana ubavu
 
Ndicho tulichotegemea makinda alipowekwa kuwa spika. NOTHING COMES FROM NOTHING
 
Ole Sendeka amemuomba rais Jakaya Kikwete avunje bunge kwa sababu limejaa wahuni.
Source: mwananchi.
 
CCM ni wahuni? maana ndio waliojaa Bungeni ukilinganisha na vyama vingine.
anamaanisha wapinzani ..anadai kuwa bunge limejaa wahuni wengi ndio maana anapendekeza livunje... Aliyasema haya wakati akihojiwa na mwananchi kwenye viwanja vya bunge.
 
Wapinzani mbona wachache sana ukilinganisha na CCM?
ok..nimepata alichikuwa anamaanisha.Mathematically kwa sababu anadai kuwa limejaa wahuni wengi na % kubwa ya wabunge waliojazana bungeni ni ccm, hence bunge limejaa wahuni wengi wa ccm. Inabidi hii hoja yake itiliwe manani labda jamaa ana nia nzuri na mustakabali wa nchi.
 
wale walioingia kwa kubahatisha/mazabe inaweza ikala kwao hii!nadhani wengine wanabinya makende lisijelikatokea hili before 2015!
 
Ndugu yangu umesahau kuwa kuna wanaochapa usingizi, wanasahau wanacho wakilisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…