Bunge Lisionyeshwe LIVE - Wabunge!

Mara nyingi utawala unao anguka huwa unaviasharia vingi. Naamini wabunge waliotoa wazo hilo watakuwa ni wabunge ambao hakika niwa chama chenye dola inayo anguka ambayo imekuwa inakimbilia kujificha kwenye mahakama, leo hii inataka kuficha uovu kwa kuminya habari.

Hili tusikubaliane nalo maana linapingana na ibara ya 18 ya katiba yetu. Wanataka kutuficha ukweli ili watumie wing wao kuzidi kuichuuza nchi yetu.
 

Mkuu Kimbunga, tutakuwa wote kwenye maandamano.
 
Last edited by a moderator:

Hivi na wewe uwa mfuasi wa Chadema?
 
hivi mgonjwa wa nyonga karudi?? lazma atakuwa kwenye list ya wanaopinga! atakesha saa ngapi na vibinti?? MUNGU ATUNUSURU!
 

Ni kitu gani kinachokufanya utuhumu kuwa ni wabunge wa ccm? Bunge lote hilo si wa CCM wala Chadema ni wababishaji tu huo ndio ukweli wenyewe na ndio sababu zaidi ubishani hakuna kinachofanyika; kimsingi hao si wabunge ni makada wa vyama wabunge karibu 90% ni vituko tu hata kuchambua bajeti hawajui hata hao wa upinzani kusoma bajeti yao wenyewe iliwashinda sasa tutasema tuna wabunge?

Chama
Gongo la mboto DSM
 

watu wa mitungi na sigara kubwa hawataki tuwaone live wakiwa mitungi na kutoa hoja dhaifu kuliko hata zile za mtoto wa nursery school!!! Wakifanikiwa hili la kutokuonekana live basi wataamia kwenye kuzuia kuandikwa na picha zao kutolewa kwenye magazeti ikiwemo video clips kuonekana kwenye luninga.

Sasa hiyo transparency hiko wapi? Na transparency ni moja ya indicators of good governance. Yawezekana hao wanaoandaa hiyo hoja walikuwa mitungi na kuvuta sigara kubwa kama alivyosema Jimmy Ndugai!!
 
all the nonsenses that have been taking place with this crucial institution were the 'beginning of the end' but by this move, it's obvious "the end of the end"!

Do they now want mwananchi not to enjoy 'silly seasons'!!!?
 
Spika hana lolote,hiyo hoja lazima kaianzisha yeyemwenyewe! ashindweee!!
 

jamaniiiiiiii,nimelisikia hili leo,hivi huku tunakoenda ndio tuliahidiwa na wabunge???????????kweli bunge la sasa ni bunge la wanaobalehe na wanaofanya sup,,,,,wote mazuzu
 

Malizia waliosema au wenye mpango huo ni wabunge wa CCM.
 
Spika hana lolote,hiyo hoja lazima kaianzisha yeyemwenyewe! ashindweee!!

ugolo,,,,INAWEZEKANA,,,,nimekupata uzuuuuri kwamba ameianzisha na baadae ataipigia chapuo,its beta akawataja tuwajue,vinginevyo yeye ameianzisha,mbona LISSU NA KAFULILA wamewah kuwataja wala rushwa????
 

Lazima wabunge wa chama cha mabwepande 2 ndo waasisi wa hoja hii.
 
hivi mgonjwa wa nyonga karudi?? lazma atakuwa kwenye list ya wanaopinga! atakesha saa ngapi na vibinti?? MUNGU ATUNUSURU!

inawezekana alopenyeza hoja ni waziri,tena anaweza kuwa steven Wa-angry
 
ole wao narudia tena ole wao walete hii hoja ya kipuuzi ndo watatujua sisi mabosi wao ni wa type gani,walah hata bakora tutawatia...
 
Lazima wabunge wa chama cha mabwepande 2 ndo waasisi wa hoja hii.

Hili ndio tatizo la udhanifu hawa wabunge wetu wamefanana tabia na matendo! Usiwaone wakitoka povu wakiwa mjengoni wakimaliza bunge wote lao moja mle mjengoni ni kama wapo kwenye komedi tu wasikuzuge! Wewe si unakumbuka hoja ya posho hawakupingana? Wote lao moja

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…