Bunge limezidi utoro

Bunge limezidi utoro

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,157
Reaction score
17,052
Nimemaliza kuangalia bunge lililoisha jioni hii. Bunge lililokuwa likijadili bajeti ya ofisi ya raisi menejenti na utumishi wa umma. Bsjeti ambayo tayari imepitishwa. Kilichonishitua ni idadi ya wabunge wabunge waliopitisha bajeti hiyo. Idadi yake ilikuwa ndogo mno sidhani kama hata walikuwa wakifika sitini. Sijajua ni wabunge wangapi wanatosha kuipitisha bsjeti ya wizara.

Kinachoonekana kwa sasa wengine wa bunge wapo majimboni kutengeneza mazingira kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwezi octoba
 
Huku Arusha mjini LEMA hathubutu kuondoka kwenda Dodoma, kwa madai yake eti anaogopa "Kupinduliwa" kama Nkurunzinza!
 
Huku Arusha mjini LEMA hathubutu kuondoka kwenda Dodoma, kwa madai yake eti anaogopa "Kupinduliwa" kama Nkurunzinza!

Kuna haja gani ya kuwepo kama kila kitu mnapitisha kwa makelele ya ndiooooo bila kujali lina maslahi kwa umma au la!
 
Kuna haja gani ya kuwepo kama kila kitu mnapitisha kwa makelele ya ndiooooo bila kujali lina maslahi kwa umma au la!
Mbona mshahara na Posho wanachukua? sasa wanagombea ubunge ili nini? Ilhali wanajua kila kitu kitapitishwa kwa "makelele ya ndio?"
 
Huku Arusha mjini LEMA hathubutu kuondoka kwenda Dodoma, kwa madai yake eti anaogopa "Kupinduliwa" kama Nkurunzinza!

Watoto wa Lumumba bhana akili ziko Nyuma ndo maana tunasema mmechoka na kwl mmechoka kila mahal habar nyingine Lema na habar hii wap na wap? Au ndo umemzimikia ili upewe tam tam maana huuish kumtaja Lema, nikwambie tu hatutak magosho sisi.
 
Mfano nzuri ni mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe. Yeye yupo jimboni kashaanza kampeni. Nimemwona ITV habari SAA 2 usiku huu.
 
Toka Bunge limeanza, Lissu, Mnyika, Nasari na wengineo wameshindwa kuhudhuria vikao. Hofu ya kupinduliwa imewatanda
 
Mfano nzuri ni mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe. Yeye yupo jimboni kashaanza kampeni. Nimemwona ITV habari SAA 2 usiku huu.
Wapo wengi sana hasa wale waliokuwa wanakalia majungu kwa siku zilizopita. Sasa watajibeba maana wananchi wanachotaka ni maendeleo na si bla blaa
 
Wasiwepo maana hamna namna nyingine..bajeti itapita tu
 
Kikao cha leo nimeona wabunge watano wa Ukawa na maccm 33 plus mwenyekiti na makatibu na walinzi bungeni kulkuwana watu wasiopungua 45. inamaana vilaza 33 na wabunge watano.
 
Wamechoka - Ni taabu tu. Bajeti FEKI, Mawaziri - FEKI. Afadhali ule posho ukisubiri kura .
 
Toka Bunge limeanza, Lissu, Mnyika, Nasari na wengineo wameshindwa kuhudhuria vikao. Hofu ya kupinduliwa imewatanda

Hao wote hawarudi bungeni na wanajua ndio maana hawaonekani kwenye vikao vya bunge wanatapatapa majimboni wakati kumekucha
 
mi sijui mbunge wangu prf tiba yuko wapi make hta jimbon hayupo cjui kwa kuwa anajua harudi tena mjengon? muleba kusin yetu awamu hii ni UKAWA TU kwa maana hamna namna lazima maccm yapigwe chini
 
Back
Top Bottom