Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,596
Kwa hiyo wewe ulitaka kwamba ili ahoji kuhusu korosho anapaswa awe na shamba la korosho, ili ahoji kuhusu Polisi anapaswa kuwa na kampuni ya ulinzi, ili ahoji kuhu masuala ya ki benki awe namiliki benki yake kwanza, ili ahoji kyhusu wafanyakazi basi angalau amewahi kuajiriwa. Yaani ndiyo umepima hiyo post yako kwa gauges zako zote na kuona ndiyo the best of all.
Kingine unapojaribu kupondea sekta binafsi na kufurahiwa kuondolewa kwao katika partnership in development and in economy kisa tu zimewahi kutugharimu huko nyuma na sasa. Je, umehoji kuhusu kwanini tuwe na bunge wakati lilishawahi kupitisha sheria za hovyo? Umehoji kuhusu umuhimu wa wakuu wa wilaya na mikoa ambao nafasi zao ni mizigo kwa taifa? Umewahi kuhoji kuhusiana na rais wa sasa na hasara alizowahi kutuingiza?
Unapoamua kuhoji mambo jaribu kuwa mkweli kwa nafsi yako ili uwe huru.