uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 5,139
- 9,016
Nakubaliana na wewe nadhani lingepunguzwa au kufutwa kabisa kisha kuunda kikundi flani kidogo cha watalaam kutoka sekta mbali mbali kulingana na kanda zetu kisha kiwe kina ishauri serikali na kuendesha mipango basiBinafsi sijawahi kuona faida ya bunge hata siku moja......kwa mtazamo wangu, ni moja wapo ya wafanyakazi hewa!
Mtu asiyekuwa na tija ni bora asiwepo kabisa!!