mama yetu mpendwa sana, Mbunge wa Njombe aliyeweka historia kwa kuwa Spika wa kwanza mwanamke. We acha tu!!!
mama yetu mpendwa sana, Mbunge wa Njombe aliyeweka historia kwa kuwa Spika wa kwanza mwanamke. We acha tu!!!View attachment 61795
Wanaenda kutalii Bungeni
hakuna cha 'like' wala nini hapa.
Wanaenda kufurahia "Mipasho" ya wabunge wetu (unakumbuka watu waliojulikana kama Wagagagigikoko), Miongozo ya Spika kutoka kwa Lakuvi, na "Rap" za Warema.
Hata kama wangelipia, zisingewasaidia wananchi. bora wasilipie.Wanalipia kiingilio hao wageni?