Bunge letu wapiganeeee

maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
11,144
15,143
BUNGE LA UKRAINE WALIZICHAPA WAZIWAZI WADAU... MI NAPENDA NASISI WAZICHAPE... NA NINGEPENDA MDEE AZICHAPE NA MAKINDA....JE WEWE UNGEPENDA NANI AZICHAPE NA NANI?
kAZI KWENU WADAU
 
Yaan thk dyjayzz ushakua unaniboa kwa kuluz wenzio hope.au iyo netwk yko ni mbovu!?sema 2kusaidie..
 
Mazuri tuige ya Wazungu na sio ujinga wa kupigana. Sasa ukipigana na kung'olewa jino utakuwa na faida gani. Au ndio misifaa.
Kama wewe unauchungu na nchi vipi Mungu aliye iumba mbona hapigani?
 
Back
Top Bottom