Sijui lakin kwakuwa naamini kila mmoja ni muumini wa dini fulani,niombe tu kuhoji,hasa kwa kuzingatia maandko ya dini yako na unavyojua unadhani kwanini bunge linaitwa "tukufu"?,vigezo gani vilitumika kulitunuku sifa hio?,kwanini?
Nadiriki kuuliza kwani mim pengne naww myakubaliana namim kuwa kuna sifa yamkini zinamfaa Mungu pekee,na hasa hii ya utukufu,hata pale alipotuambia yaliyokubliwa duniani basi na mbinguni yamekubalika me sidhani kama alitupa tiketi kujipa majina yanayo mfaa yeye tu au mimi sielewi vema?
Hata hivi ni kweli kuwa bunge letu linafaa kuitwa bunge tukufu au kuna haja ya kuangalia jina jingine zaidi,na zaidi wanaoingia huko wanaitwa waheshimiwa...