Bunge letu linapoteza hadhi!

CCM wana uzoefu wa ku-run nchi chini ya mfumo wa chama kimoja. CCM bado hawajajua jinsi ya kuendesha nchi sambamba na chama cha upinzani chenye nguvu.

Na mpaka wakija kujua itakuwa too late. Na viongozi wake wamekosa mbinu kabisa, wanashindwa hata kuchunguza, kujifunza kwa vyama tawala vya nchi zilizoendelea. Ni kitu rahisi mno kuwafanya watanzania kuwa upande wako, lakini CCM hawajui nini cha kufanya.

Kama CCM wangekuwa na akili kidogo tu kama punje ya mhindi, wapinzani wangekuwa na hali ngumu sana
.

Yaani hata hawapeani ushauri, mwenzao akiharibu wanamtetea mbele ya macho ya watanzania, sasa sijui wanadhani watanzania ni vipofu au ni mapunguani hata sielewi.
 
maccm yote akili zao sawa kuanzia mwenyekiti wao taifa hadi balozi wa nyumba kumi wa mtaa wetu asiyejua kusoma na kuandika..
 
unadhani hapo kwenye bold nyekundu kulikuwa na ulazma wa kutukana?

ungejua kilicho moyoni mwangu hapo najiona sijatukana kabisa... nashindwa kuendekeza unafki ndiyo tatizo langu kubwa. upuuzi wanao ufanya mbona hilo siyo tusi
 
samahani hivi tukufu maana yake nini?maana nahisi neno tukufu lina maana pana sana.
 
Ndugu zangu wana jf naimani wingi wetu katika jukwaa hili nizaidi wa wabunge wa bunge letu la jamhuri ya Tanzania,sasa ninaomba tutumie nasi wingi huu kujibu swali langu lifuatalo kama wingi wa wabunge unavyotumika kuangamiza hoja za wabunge wa upinzani zenye tija kwa maendeleo ya wananchi
SWALI -wanaoafiki kua mwisho wa ccm ni 2015 waseme ndiyoo na wasioafiki waseme sioo
 
Siooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
Kama tunaruhusiwa kutoa taarifa na mwongozo nitarudi.
 


Ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
hii inafaa kule chitchat,
NDIYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Hili ni bunge lililopo chini ya serikali ya ccm! Linanyang'anywa nguvu zake na serikali,na wabunge wa ccm wanashangilia. Hii ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu.
 

Hapo pekundu panatumika vibaya. HIVI UTUKUFU UNAWEZA KUPATIKANA KWENYE BUNGE LA TANZANIA?!
 
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa makampuni ya simu yaanjifanyia yanvyotaka na hakuna wa kumlinda mtumiaji. Kwa nini waovercharge sms ya kwanza? Kwani lazima mtu atume zaidi ya sms moja? Huu ni wizi wa wazi! TCRA hawaoni madudu kama haya?
 
kazi ya wabunge wetu ni kukusanya posho na kwenda kufanyia matumizi. Kuhoji serikari si jukumu lao la msingi. Kupinga hoja za serikari ni dhambi kwa chama cha mapaparazi.
Maisha bora kwa kila mtanzania ni ya wabunge.
 
Bunge sasa linaongozwa na wavuta bange tu, hakuna cha maana kinachoendelea chenye manufaa kwa wananchi wa Tz. Naona as if wanatumia fedha za walipakodi bure bila ya manufaa yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…