BUNGE lathibitisha kujiuzulu kwa Rostam

that was a simple straight question, dont try to avoid it Faiza

Tuonyeshe uliosoma wewe ilikuwaje?
mimi sikusoma shule iliyojengwa na magamba wa awamu ya kikwete (shule za kata) ambazo wewe unazitetea! kipindi nilichosoma mimi ukifaulu kwenda sekondari ni kweli umefaulu kwa uhakika; kulikuwa na shule chache lakini zilizobora; lakini sasa hata wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika wanakwenda sekondari, eti kwa sababu zipo nyingi! tatizo lenu nyie mnaangalia quantity na sio quality ambayo siku zote cdm tunasisitiza.

hivi dada yangu faiza; sekondari yenye madarasa 2 yasiyo na sakafu wala madawati ambayo ina mwalimu mmoja nayo utaita sekondari? unajua matokeo yake nn? 50% ya form iv 2010 walipata zero! hii haijawahi kutokea ndani ya miaka 50 ispokuwa wakati wa kikwete; mbona hujaiordhesha katika mafanikio yako dada?

ooh! by the way kuna mafanikio mengine hapa:
1. maisha bora kwa kila mtanzania yameongezeka kwa kugawana giza
2. tuliahidiwa umeme utakuwa historia lakini sasa historia imejirudia
3. bei ya sukari imeongezeka kutoka 600(2005)-2000(2011)
4. bei ya mafuta ya taa ambayo ni nishati ya kutumainiwa kwa wananchi wengi haswa washio vijijini imeongezeka kutoka 800(2005)-2200(2011)
5. kilo ya sembe imeongezeka kutoka 300(2005)-900(2011)
6.bei ya mfuko wa saruji imeongezeka kutoka 6000(2005)-14,000(2011) hivyo kufanya nyumba za tembe kuwa halali ya watanzania hata baada ya miaka kumi ya uhuru

OOhhh, Catholic Crusade Movement, do you support it also or not?
mmeiandama CUF kwa propaganda ya udini mpaka mmeimaliza na hatimaye imekuwa ccm B! sasa mnahamia kwetu kwa propaganda zilezile! hatudanganyiki! lazima mng'oke 2015!

mimi sikusoma shule iliyojengwa na magamba wa awamu ya kikwete (shule za kata) ambazo wewe unazitetea! kipindi nilichosoma mimi ukifaulu kwenda sekondari ni kweli umefaulu kwa uhakika; kulikuwa na shule chache lakini zilizobora; lakini sasa hata wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika wanakwenda sekondari, eti kwa sababu zipo nyingi! tatizo lenu nyie mnaangalia quantity na sio quality ambayo siku zote cdm tunasisitiza.

hivi dada yangu faiza; sekondari yenye madarasa 2 yasiyo na sakafu wala madawati ambayo ina mwalimu mmoja nayo utaita sekondari? unajua matokeo yake nn? 50% ya form iv 2010 walipata zero! hii haijawahi kutokea ndani ya miaka 50 ispokuwa wakati wa kikwete; mbona hujaiordhesha katika mafanikio yako dada?

ooh! by the way kuna mafanikio mengine hapa:
1. maisha bora kwa kila mtanzania yameongezeka kwa kugawana giza
2. tuliahidiwa umeme utakuwa historia lakini sasa historia imejirudia
3. bei ya sukari imeongezeka kutoka 600(2005)-2000(2011)
4. bei ya mafuta ya taa ambayo ni nishati ya kutumainiwa kwa wananchi wengi haswa washio vijijini imeongezeka kutoka 800(2005)-2200(2011)
5. kilo ya sembe imeongezeka kutoka 300(2005)-900(2011)
6.bei ya mfuko wa saruji imeongezeka kutoka 6000(2005)-14,000(2011) hivyo kufanya nyumba za tembe kuwa halali ya watanzania hata baada ya miaka 50 ya uhuru
8. shilingi imeshuka kutoka 1000(2005)-1600(2011)

8. shilingi imeshuka thamani kutoka 1000(2005)-1600(2011)

mimi sikusoma shule iliyojengwa na magamba wa awamu ya kikwete (shule za kata) ambazo wewe unazitetea! kipindi nilichosoma mimi ukifaulu kwenda sekondari ni kweli umefaulu kwa uhakika; kulikuwa na shule chache lakini zilizobora; lakini sasa hata wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika wanakwenda sekondari, eti kwa sababu zipo nyingi! tatizo lenu nyie mnaangalia quantity na sio quality ambayo siku zote cdm tunasisitiza.

hivi dada yangu faiza; sekondari yenye madarasa 2 yasiyo na sakafu wala madawati ambayo ina mwalimu mmoja nayo utaita sekondari? unajua matokeo yake nn? 50% ya form iv 2010 walipata zero! hii haijawahi kutokea ndani ya miaka 50 ispokuwa wakati wa kikwete; mbona hujaiordhesha katika mafanikio yako dada?

ooh! by the way kuna mafanikio mengine hapa:
1. maisha bora kwa kila mtanzania yameongezeka kwa kugawana giza
2. tuliahidiwa umeme utakuwa historia lakini sasa historia imejirudia
3. bei ya sukari imeongezeka kutoka 600(2005)-2000(2011)
4. bei ya mafuta ya taa ambayo ni nishati ya kutumainiwa kwa wananchi wengi haswa washio vijijini imeongezeka kutoka 800(2005)-2200(2011)
5. kilo ya sembe imeongezeka kutoka 300(2005)-900(2011)
6.bei ya mfuko wa saruji imeongezeka kutoka 6000(2005)-14,000(2011) hivyo kufanya nyumba za tembe kuwa halali ya watanzania hata baada ya miaka kumi ya uhuru

Na mishahara na kipato kimeongezeka vilevile. mbona hilo hulisemi?

Thats what i am so to me whoever does something good for my country Haleluya! Whoever does any stupid thing to jeopodyz my countrys wellbeing na alaaniwe popote atokako

Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Barabara na umuhimu?

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. U meant shule za kata za Lowassa?Kiwango cha kufeli ni kikubwa kuliko vipindi vyote ukichanganya pamoja

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Vyuo vya kichina kama Teofilo Kisanji na vyuo vya wanafunzi wasiokwenda kwenye mafunzo ya kazi kama UDOM

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Kikwete anaziongezea na Ambulance za Bajaji

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Excellent

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Mbona walimu hawaendi kwenye hizo nyumba za shule???????

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Yes, ndo maana serikali inakopa kwenye mabenki ya kibiashara

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

Machangudoa wameongezeka kuliko awamu zote ukichanganya pamoja
Mabarmeid wameongezeka kuliko awamu zote ukichanganya pamoja
Omaomba na machokoraa wameongezeka kuliko awamu zote ukichanganya pamoja
Vifo vya kina mama wajawazito vimeongezeka kuliko awamu zote ukichanganya pamoja
Ajali barabarani zimeongezeka kuliko awamuzote ukichanganya pamoja
Mafisaadi wameongezeka kuliko awamu zote ukichanganya pamoja
Safari za Raisi zimeongezeka kuliko awamu zote ukichanganya pamoja

Mwisho hatutakki Raisi ombaomba tunanataka raisi mbunifu wa kuongeza pato la taifa ili tujitegemee sio Rasi anayedhani kuongeza faini barabarani zitaongeza pato, je makosa yakipungua barabarani si inchi itaendelea kukopa mpaka SACCOS

Ikiwa hata umuhimu wa barabara huuelewi, nini utachokielewa?

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. U meant shule za kata za Lowassa?Kiwango cha kufeli ni kikubwa kuliko vipindi vyote ukichanganya pamoja

I mean hizi hapa, tazama takwimu hapa chini. Halafu piga hesa bu za haraka, ikiwa wamepasi 60% mwaka 2005 na ikiwa wamepasi 40% mwaka 2009 wapi ni wengi?

tz.number.of_.schools-2010-09-12-01-36.jpg

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Vyuo vya kichina kama Teofilo Kisanji na vyuo vya wanafunzi wasiokwenda kwenye mafunzo ya kazi kama UDOM

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Kikwete anaziongezea na Ambulance za Bajaji

Kumbe na hili unalijua eennhh, sasa nikujuze kitu ambacho nna uhakika hukielewi, Uingereza na maendeleo waliyonayo mpka leo wanatumia ambulance za baiskeli baadhi ya sehemu, sasa fikiria baiskeli na bajaj, nani zaidi?
ambulance.jpg

Bicycle Ambulances on display in September 2005. They now serve central Cambridge from Park Street Cycle Park.

'when looking at ways of providing patient care in the city it was clear that bicycles were the most effective way to get to the parts of the city normal ambulances couldn't reach.
5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Excellent

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Mbona walimu hawaendi kwenye hizo nyumba za shule???????

Hayo ndio matatizo ya kuongelea, kuwa kwanini hawaendi? tuyatatue.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Yes, ndo maana serikali inakopa kwenye mabenki ya kibiashara

Si bora awamu hii inakopa, awamu zilizopita ziliyataifisha kabisa na zilikuwa zinachota mpaka mabenki yakafilisika, au umesahau?

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

Naona nane na tisa umekubaliana nayo.

Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.

reference/statistics please!!!
vunja jungu wapi nikutafute??

Hivi hizo barabara, shule, zahanati mnazozipigia kelele ni zipi wananchi tusizoziona wala kutumia?? ningeelewa kama wao,watoto na ndugu zao tungekuwa tunabanana kwenye hizo shule na zahanati lakini wapi..!

Hivi kuna Rais gani zaidi ya Kikwete ambae anafanya kila njia kuhakikisha maisha bora kwa kila mTanzania? hizo safari zote za nje anakwenda kwa ajili yetu na si kutembea. Laiti ungelijuwa, nakuonea huruma sana.

1) Barabara za lami za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

2) Shule za Sekondari za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

3) Vyuo vikuu vya wakati wa Kikwete ni vingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

5) Umeme wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

6) Nyumba za walimu za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

7) Ukusanyaji wa kodi wa wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

8) Utalii Tanzania wakati wa Kikwete ni mwingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

9) Mashine za tiba Mahospitalini za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja.

Niendelee? inatosha kwa leo.
Hivi kumbe kampeni zimeanza!!!!!!! hii kali.

4) Kliniki wakati za wakati wa Kikwete ni nyingi kuliko awamu zote ukichanganya pamoja. Kikwete anaziongezea na Ambulance za Bajaji

'when looking at ways of providing patient care in the city it was clear that bicycles were the most effective way to get to the parts of the city normal ambulances couldn't reach.

Wenzetu tayari wanazo ambulance-gari za kutosha sasa kwa sehemu zisizofikika kwa urahisi ndio wakaweka hizo baiskeli, embu tueleze nasisi tunazo Ambulance -gari za kutosha na zinafika sehemu nyingi kiasi kwamba ikaonekana bajaj zikasaidie?? wakumbukeni wapiga kura wenu kwakua mna uwezo wakwenda India basi watengenezeeni nao mazingira mazuri ya Afya na sio hizi porojo..

Si afadhali hata awamu ya Kikwete imefikiria hayo, kabla yake kulikuwa kuna nini? tuwe wa kweli. Na wameshasema, pale ambapo Bajaj hazitoweza kufika wataangalia uwepo wa magari na uwepo wa helikopta.

Halafu laiti kama kila Mbunge angeenda kujifunza kwa RA aliwezawezaje kuwaweka kila kaya ya lililokuwa jimbo lake la Igunga katika bima ya afya? Tusingekuwa na tatizo hili. Igunga imebidi kampuni ya bima ikajenge zahanati, iweke ambulance na kuna mkataba wa "evacuation" kwa helikopta au ndege kwa gharama za bima ikibidi.

Jee, wewe unwafanyia nini wananchi wako? usingoje kila kitu kufanyiwa na serikali.

Back
Top Bottom