Bunge lasema halijapokea barua ya Nyalandu kujiuzulu, lamvua ubunge kutokana na CCM kumfukuza uanachama

View attachment 621961

Moja ya habari kubwa za sasa hivi nchini Tanzania ni Lazaro Nyalandu ambae juzi ametangaza kujiuzulu nafasi zake zote ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM pamoja na Ubunge wa Singida Kaskazini.

Baadae Spika Ndugai alihojiwa na vyombo vya habari na kusema kwamba pamoja na kusikia taarifa za kujiuzulu kwa Nyalandu kwenye vyombo vya habari, yeye bado hajapokea barua ya kujiuzulu kwa Mbunge huyo.

Sasa leo imetoka taarifa kutoka Ofisi ya Bunge Dodoma ikiwa imeandikwa kama inavyosomeka hapo juu..

Hii hapa Barua ya Nyalandu aliyomuandikia Spika
View attachment 622471
Mwaka huu ataongea kwa lugha zote kuhusiana na ubunge wa covid 19
 
MAJIZI YANA KIMBILIA CHADEMA
COVID 19 VIMEKIMBILIA FISIEM SHWAIN NYIE HAYA VITAFUNENI.. SI MMEVIPENDRAAA!!!!!
1607582479029.png
 
Naam ..Tatizo lingine nchi hii hatuna waandishi wa habari makini bali makanjanja na watumia tumbo... Akiwa na press kwanini hawamuulizi maswali with reference to precedences such as this ?
 
Back
Top Bottom