Kama ni hivyo Tanzania bado tunayo safari ndefu sanaHata wakipiga kura haisaidii! Wabunge wa ccm hawako huru bungeni na anaejaribu kwenda kinyume na msimamo huitwa na kuonywa. Ndio maana kamwe hutaona kura ya siri ikipigwa bungeni.
Habari ndio hiyo. Kwa maoni yangu ya kijinga, hakuna sababu ya kuwa na bunge. Vikao vya halmashauri kuu na kamati kuku vinatosha kutoa maamuzi.Kama ni hivyo Tanzania bado tunayo safari ndefu sana
“Inaenda kuunganisha kampuni na mwenye kampuni kuwa kitu kimoja, jambo ambalo tutachekwa duniani na hakuna mtu atakayekuja nchi hii kuwekeza fedha zake ili kutengeneza ajira, ili kulipa kodi,” amesema.
Wapi kampuni na mwenye kampuni wameunganishwa?Kwaio serikali inataka kuleta kichekesho cha dunia nzima wazungu waliona waitofautishe Sole Proproprietorship na Company maana Company ni mtu tofauti sasa hivi inamaana Soleproprietor na mwenye kampuni ni kitu kimoja