Kama BUNGE linashindwa kufanya mambo yake kwa kanuni na Taratibu wapi wataweza kufuata kanuni?
Ngoma itaja kuwa nzito hii..hebu ngojs nijichukulie popcorn mie
Hiii habari imekuwa inasemwa chini kwa chini na najua kuwa kuna uchunguzi ulikuwa unaendelea.
Mwanzilishi wa mada naona anazunguka mbuyu tuu
kuna tuhuma nzito za UDINI kwenye hii issue na binafsi nimeiona ile document iliyo kwenda mpaka Ikulu. Japo ilikuwa na mapungufu kadhaa lakini ni wazi kuwa tuhuma zilikuwa nzito sana. Waliokuwa wanafanya zoezi la usaili kwenye hili inasemekana walipitisha majina ya wasio na na sifa kwa sababu za dini zao na walioachwa nao inasemekana kuwa walikuwa na sifa zaidi ya hao waliopitishwa
Hii issue naona kadri muda unavyozidi kwenda itakuwa kama JINAMIZI linalokuja na kuondoka
By the way hii thread ikiachwa hapa watu wawili waliohusika na zoezi watakuja humu kujitetea kwani huibuka pale ambapo watu wao hutajwa kwenye kashfa kama hizi....kuna mengi yanaandaliwa na I am sure kuwa hii itakuja kublow out of proportion sasa sijui kama waheshimiwa washaliona hili au la
mimi sikatai watu wa darasa moja kuitwa kwenye interview haiwezekani,je wangekuwa wahitimu kutoka University of Dar-es-salaam ndio wameitwa kwenye hiyo interview pangekuwa na maneno?mimi naamini ST aguasyin University wako juu tuache majungu
Mara nyingi ujue kulikuwa na mtu mmoja ana mtu wake pale na akaona bora achukue darasa zima pamoja na marafiki za mtu anayemjua.
Hii inafanyika mara nyingi sana,mtu anaua soo kwa kuchukua watu wengi lakini kumbe nia yake ni mtu mmoja.
Me naomba kama kuna mtu ana majina ya watu waliochukuliwa ayamwage hapa tufanye uchunguzi wa kina.
Kwa mujibu wa barua ya malalamiko kwa DR.Kashishilah Thomas majina ya waliomaliza NOV 2008 na hawana uzoefu hata wa miezi sita baadhi yao ni TUSAJINGWE,MUNGILE,CATHERINE MWIHULU,SALVATORY MKUDE,JOSEPHAT QORRO,MTAKI,EVARIST,JASMINI BABLIA,MORORO,WAMBURA,CATHELINE,IRINE,MWIHULA hao wote ni darasa moja wamehitimu NOV 2008.
UNAPOCHUKUA WATU WA DARASA MOJA KAMA WANA WEAKNESS BASI NI WOTE ILA UKIWEKA MCHANGANYIKO WANAWEZA KUJIFUNZA KWA WENZAO AU WAKAWAFUNZA WENZAO.
CHANZO CHENYEWE KUNA DADA MHITIMU WA ST.AUGUSTINE AMBAYE YUKO HR BUNGENI, AKISHIRIKIANA NA DAP NOMBO KWA BARAKA ZA DR.KASHISHILAH WAMEKUWA WAKIFANYA MAZINGAOMBWE HAYA KWA MUDA MREFU.
ST.Augustine hawako juu kuwashinda UDSM au Tumaini University.waliochukuliwa wana kiwango kidogo cha kufaulu.nimebahatika kuona vyeti vya walioachwa na waliopita kwenye interview,wameachwa wengi wenye uzoefu na uwezo.mfano sharti la kazi lazima uwe una uzoefu wa miaka miwili hao wa ST.AUGUSTINE hata mmoja hana sifa hiyo.huwezi kuchukua watu wa darasa moja Hansard Repoter wameitwa watu 15 kwenye interview na wa ST.AUGUSTINE wako 14. nafasi zinazotakiwa ni saba.ST.Augustine hawawezi kuwa juu ya UDSM hata kwa nini.inaonekana wewe ni mmoja ya hao walioitwa kwenye Interview wakiwa wahitimu wa ST.Augustine utasema vipi majungu wakati Hard Facts zipo na unapewa.
Hakuna violation ya privacy kwani vyombo vyote vya habari vinazo copy ya malalamiko haya. mimi nimefanikiwa kupata kopi kwani niko kwenye chombo cha habari.Violation of effin privacy.
mimi sikatai watu wa darasa moja kuitwa kwenye interview haiwezekani,je wangekuwa wahitimu kutoka University of Dar-es-salaam ndio wameitwa kwenye hiyo interview pangekuwa na maneno?mimi naamini ST aguasyin University wako juu tuache majungu