Bunge laahirishwa ghafla kutokanana msemaji wa upinzani kudai serikali inaua waandishi wa habari

What the fvck is wrong with this country?

Hata mbunge hana uhuru ndani ya bunge kusoma hotuba yake?

Sasa tutategemeaje kuwe na uhuru kwa muandishi wa habari ambaye hana "Parliamentary Immunity"?

They are just proving his case for him.
 
There are currently 11916 users browsing this thread. (370 members and 11546 guests)
WABUNGE WOTE WAKO HAPA, MAOFISA WA VYOMBO VYA USALAMA, MAOFISA NA WAFANYAKAZI WA WIZARA ZOTE,
IKULU NA WAFANYAKAZI WAKE WOOTE!

HALAFU ETI JF IFUNGIWE?
NKA100 YOU CANT BE SERIOUS!
 
imejaa uchochezi,lawama na uwongo wa wazi.Atakuwa ameiandika peke yake.Jamaa ni kichwa maji na mtafuta sifa za kijinga.Lakini hawezi kukosa wajinga wenzie wa kumsapoti

jiulize je hayo siyo ya kweli. Sugu anaonekana kichaa lakini ukweli upo???
 
You can fool some people sometime , but you cant fool all the people all the time - Bob .........
 
Kama kawaida yao wazee wa ku-edit(ccm) wanataka hadi ku-edit hotuba ya upizani.,yaani ccm viranja wa kila kitu hadi Roho za watu
 
Hilo nilijua kwamba watu wa mby hawawezi kuchagua mbunge muoga au fara,big up kamanda sugu.wanakwita sugu nani?wanakwita sugu nani?wanakwita sugu sug suguuuuuuuuuuuuu
 
What the fvck is wrong with this country?

Hata mbunge hana uhuru ndani ya bunge kusoma hotuba yake?

Sasa tutategemeaje kuwe na uhuru kwa muandishi wa habari ambaye hana "Parliamentary Immunity"?

They are just proving his case for him.

An attempt to stop a moving tank with bare hands it would appear.
 
Haha haaa!navomjua Sugu jioni hii ataiwasilisha kwa style nyingine.
 
ifike hatua tuwakatae wanasiasa kama hawa wasioipenda nchi wako tayari kuongea uongo ndani ya bunge tukufu.
 
Kweli ccm 2015 watasoma number

CCM wamekiuka agano letu la uhuru, waache wakaadhibiwe. Moto unachoma nchi nzima, dalili zote zinaonesha 'jimbo la Tanzania' linaelekea upinzani. Hila walizowafanyia NCCR na CUF miaka hile ya giza, ujinga na woga CHADEMA wame-resist na wamekuwa imara kuliko miaka yote. Taarifa zimeenea duniani kote kuwa CCM ya sasa imedhoofika sana na kamwe haiwezi kuwa imara. Wanachotakiwa kufanya ni kuondoka kwa usalama vinginevyo yote yaliyoandikwa na 'mwalimu mkuu wa watu' yatatimia siku si nyingi.
 
halafu mwizi hufikiri kila mtu ni mwizi mambo wanyofanya chadema ya kuteka watu wanafikili kila mtu anayafanya jamni chadema acheni sanaa hazitawasaidia.
 
Back
Top Bottom